Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Ashaliwa huyu na ukuta wa Berlin ushaangushwa tayari..Wewe unataka tu watu wakuombe namba unajipigia DEBE tumekugunduaaaa....kwanza wanaoombwa namba hawawez kulalamika ila ambao wanajiombesha namba ndo kama nyie
Hahahahahahhahahaa
Daaah pole hao ni watoto wadogo wasiokua hata na hela ,achana naoYaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Teh tehWewe usipotoa wenzako wanatoa
Hii swaga ya kuombea namba hii[emoji12]Daaah pole hao ni watoto wadogo wasiokua hata na hela ,achana nao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaani unatangaza tukuombe namba, Mimi sifanyi hivyo...!
Nimemmis huyu Mzee haonekani siku hizi kasusaNipo...ndo nani huyo uliyemwita?
Akilja msalimie [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nimemmis huyu Mzee haonekani siku hizi kasusa