MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
siku nyingine andika baadhi ya wanaume mmpoje? Sio kugeneralize hiv as if kila mwanaume anataka namba yakoYaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Tumekusikia ila ukigonga 40 yrs bila bila usije kutusumbua na threads za 'mwanaume muoaji anahitajika urgently' maana ulifunga milango na madirisha mwenyewe.47prilpost: 15624933 said:Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Ahahaha kwa hali hii Itabid kuwe na kitufe cha sex test humu jf.. Once you sign up use your kifanyio to activate account...!Uwe na kumbukumbu kuna sehemu ulibananishwa na jamaa mmoja kwamba wewe ni mwanamke ukakataa na wakati huo kwenye profile yako status ilikua male ,sasa sijui umeshtuka nini ukaona bora uwe mwanamke
Shida hutokea pale utakapo kufa halafu account inakua verified ,mtu kajinasibu ni mwanamke kumbe ni mwanaume sasa sijui ataelewekajeAhahaha kwa hali hii Itabid kuwe na kitufe cha sex test humu jf.. Once you sign up use your kifanyio to activate account...!
Ni wewe mlengwa nini chief?! maana povu limekufumka!Nani akutake namba!! kwa lipi hasa! utakuta limtu linapost hivi kumbe linanuka papuchi kama choo cha uswazi.. shame on u>
Sijui kama angekuja kubwabwaja humu! uzuri wa ile makitu mwombwaji na mgegedaji, huwa tunafanyaga siri mno!We mlugaluga nini sasa ungeombwa 0712 ungesemaje sasa.
Acha kujipiga promo mbona ww mlain tuu taarifa zako tunazoYaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi Hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu?
Tamaa zingine acheni.
Mimi ukija PM, number sikupi ng'oo, mara Ooooh, uko whatsApp, sijui Facebook etc. Sasa kama ni urafiki si hapa panatosha tu jamani?
Yaani ukija PM kuomba number, ujue hutakaa upate, haijalishi unalugha vipi, ni vibes gani utaniambia ambayo sijawahi sikia? Labda uongee kiyunani.
MNAJIJUA WENYEWE.....
Am done, what you me to do daaaaamn!!
Unaombwa namba kulingana na ww ulivo, kama umekaa kibiashara zaidi waomba namba hawatokuisha, kwenye profile yako weka picha ya kwaya uone kama mtu atakuomba namba yako.
Halafu kama ni mwanamke anasura mbaya ka pumbu la marehemu..Nina wasiwasi mkubwa wewe ni mwanaume
Duu hilo sijui Mkuu ,sijafanikiwa kuona P**mb la marehemuHalafu kama ni mwanamke anasura mbaya ka pumbu la marehemu..