Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

Mbona kuna bandiko "Jinsi ya kutongoza mwanaume" umeweka no ya Airtel Kenya +254732860896 ? Una tatizo wewe.
 
Usiofu Endelea Na Masex Toy Yako Ndo Uyape Namba Sie Wala Hatuzihitaji
 
Hebu nipe namba yako tuongee vizuri zaidi umesema jambo la maana sana
 
Nime penda sanaa comment za huu uzi...!
 
Unaweza kuta hujawahi ombwa namba ya simu na mwanaume tangu huu mwaka uanze kwa hiyo umekuja hapa hapa kulia lia as if unasumbuliwa vile.
 
Kwani ukitongozwa kuna ubaya gani. Si huwa mnafurahi? Isitoshe namba si ndio dili?. Uko Dar unaomba mpesa toka mwanza kwa msukuma uliyempa namba. Hujui
 
umevunja ungo lini? kama kuombwa no unapanic hivyo je, ungeombwa nyapu si ungeua mtu......
 
Hilo la namba wala siyo issue...siku hizi ni kuomba picha...picha ukitoka kuoga basi
 
eh teh teh naona kanielewa na namba zake hizi hapa..
Voda.. 0764703016
Tigo.. 0716105530 Changamkia dili
Hii ndo jf bhana alaaaa
 
mi sijaelewa somo n pm basi namba yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…