CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.