WANAUME HIVI MMEJUAJE LAKINI?

Mtumie inbox huu ujumbe
 
Sasa mbona na wewe unakuja kulalamika hapa JF?
 
Wewe binti rudi basi shule ujue namna nzuri ya kuandika kiswahili... Idiot
 
Mods please reakibisha hiyo heading ni WANAUME HIVI MMEKUAJE LAKINI
Wivu unatafsiriwaje?

Wewe ukiwa kwenye mahusiano na mtu, unaona ni jambo la kawaida kuendelea kusimama na wanaume na kucheka nao ovyo ovyo barabarani?

Tena huyo mwenye kulalamika ana nyongo nyepesi.

Kuna wengine hapo ni ugomvii na kudhalilishana.
 
Jitu zima na akili zake timamu badala linyonyeshe watoto wake na maziwa yake kama ndara mbio mbio kuandika mada za kipuuzi jamiiforums.
 
Na nyie wanawake muache umalaya wa rejareja unapata wapi ujasiri wa kusimama na mwanaume mwingine huku unajua kabisa unamume/mpenzi wako eneo hilohilo.
Hayo mambo zamani hayakuwepo kabisa.
 
unazan kwa kipindi hicho cha wazee we2 kungekuw na socialmedia kam hii wasinge kimbilia kulalamik JF hum?????
 
Kwamba nikikuta mwanaume mwingine amekukamatia kiuno nikimbilie instagram..

Nisubiri weee mpaka akupeleke kitandani akupelekee moto ndo nije JF?

Kumbuka ushakula vyangu hapo?.. mwanaume mwenye uvumilivu huu hayupo labda urudi kwenye sayari yako ya Zuhura..
 
Ni wote au hao wanaolalamika?
 
Yahani wewe ni bwege kabisa nenda kajifunze kuandika kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…