Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kwanza siku hizi mwili wangu ni kama umekufa ganzi nahisi ni Kero za wanaume ndo maana sina hisia kabisa n wala nimeshasahau utamu wa mapenzi kabisa so siku hizi sipat hizi Kero ulizoisema kwenye uzi
Kwa hiyo unakula na unasepa kimya kimyaa
 
Yan sjui nifanyeje Mimi nazani nikienda kukwichi hata sifiki kitonga wala kulowaa maana sna hisia zerooo hisia

Kama unaweza kutibu itakuwa poah
Njoo PM nikusaili kwanza nijue nikutibuje. Serious hii utani weka pembeni
 
Eti Home of great thinkers, mtu anaposti shudu afu mnampa na likes.
Sorry Mama Sabrina, lakini umeniudhi kwa kweli.
 
Demisss unanidanganyaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kero nilishazichoka nikaamua kula kona mm saiv Naenjoy life tu hata nisipochaj Sm hakuna w kuniuliza

Nilale kwa rafk Hakuna wa kuniuliza full Aman

Natoka out muda wowote nicheze dance mpaka asubuhi club Hakuna wa kulalamika

Aman amani tu no stress

Mambo sjui hun kachepuka nimeshasahau kitamboooo
 
Back
Top Bottom