Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

[emoji23][emoji23][emoji23]Kero nilishazichoka nikaamua kula kona mm saiv Naenjoy life tu hata nisipochaj Sm hakuna w kuniuliza

Nilale kwa rafk Hakuna wa kuniuliza full Aman

Natoka out muda wowote nicheze dance mpaka asubuhi club Hakuna wa kulalamika

Aman amani tu no stress

Mambo sjui hun kachepuka nimeshasahau kitamboooo
Aaaah mim bado sikomiiiiii
 
Sasa mimi mwenye marafiki wengi walionizidi pesa si ndiyo mtaniacha kila siku.

Marafiki zangu wakubwa wengi wamenizidi umri na pesa .[sijui hata kwanini]
Ahahahhaah we sukari ya warembo,,halaf wakuzidi umri tu sio pesa bana unataka kuanza kuniudhi mimi
 
Wanawake bana Daaa kweli ndio maana hata maandiko yanasema "enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili " maana licha ya mungu kuwaumba na kuwaweka kwenye bustani Nzuri yenye kila kitu bado walimsaliti na kumfuata shetani, kwa hiyo mwanamke usaliti hajaanza leo ila tunawavumilia tu.

 
Lilishatokea hili hahahaha, Unakuta mtu ni mkorofu mkorofi unakutana na jamaa yake very humble God will understand
Mimi iliwah tokea jamaa yangu kaenda kukutana na rafiki yake yupo na demu wake,,demu hajaanza mshobokea bwana angu na kumsifia mara ananukia vyema ,sijui nini wacha utoke ugomvi demu hataki kwenda na jamaa yake ,nakuja napigiwa simu nikamfata bwana angu nikawaacha ,jamaa akaanza mfokea demu wake
 
Back
Top Bottom