Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
YES/NO/MAY BE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi badili gia angani?Infwakti nasubiri mchango wako juu ya hili
Kweli unaweza rudisha hisia za mapenzi zilizopotea Ww au unataka kunikwich tu sababu nimeshakuwa sealed full temperatureNjoo PM nikusaili kwanza nijue nikutibuje. Serious hii utani weka pembeni
Aaaah mim bado sikomiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]Kero nilishazichoka nikaamua kula kona mm saiv Naenjoy life tu hata nisipochaj Sm hakuna w kuniuliza
Nilale kwa rafk Hakuna wa kuniuliza full Aman
Natoka out muda wowote nicheze dance mpaka asubuhi club Hakuna wa kulalamika
Aman amani tu no stress
Mambo sjui hun kachepuka nimeshasahau kitamboooo
Ngoja nikumbuke list yangu LOLHujawahi badili gia angani?
Ahahahhaah we sukari ya warembo,,halaf wakuzidi umri tu sio pesa bana unataka kuanza kuniudhi mimiSasa mimi mwenye marafiki wengi walionizidi pesa si ndiyo mtaniacha kila siku.
Marafiki zangu wakubwa wengi wamenizidi umri na pesa .[sijui hata kwanini]
Nawe list kubwa kama mimi?Ngoja nikumbuke list yangu LOL
Noma sana!Wanawake hivi mpoje, mnaturoga sana. Kwa waganga mnatuendea sisi, mkitoka Huko mnatuendea kwa manabii, hivi mnataka tuweje sasa na nyie mnatuchanganya kama concrete mixer
Mm Kiukweli nimekomaa mpaka Nikipata Dr wa kunitibu maradhi yanguuuuAaaah mim bado sikomiiiiii
Hapana akipata wine niko Defrancee na henness apitie hapa...nadhan na huduma yake itakuwepoHaya ukimaliza kutoa povu pita hapa calabash upate wine ukalale.
Mimi iliwah tokea jamaa yangu kaenda kukutana na rafiki yake yupo na demu wake,,demu hajaanza mshobokea bwana angu na kumsifia mara ananukia vyema ,sijui nini wacha utoke ugomvi demu hataki kwenda na jamaa yake ,nakuja napigiwa simu nikamfata bwana angu nikawaacha ,jamaa akaanza mfokea demu wakeLilishatokea hili hahahaha, Unakuta mtu ni mkorofu mkorofi unakutana na jamaa yake very humble God will understand
Kweli sema uzuri tunaheshimiana saana.Ahahahhaah we sukari ya warembo,,halaf wakuzidi umri tu sio pesa bana unataka kuanza kuniudhi mimi
Mimi bado napenda sana tu sijakata tamaa,,Mm Kiukweli nimekomaa mpaka Nikipata Dr wa kunitibu maradhi yanguuuu
Na sjui kama nitaweza kurudisha hisia
Ushakumbuka listi?Kweli sema uzuri tunaheshimiana saana.
Haya mambo huwa siyakumbuki hadi nikiwa kwa mood mazee ndiyo nianze moja baada ya moja.Nawe list kubwa kama mimi?
Nakumbuka ya mwaka huu tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115]Wanatamani na wao wangekua nazo wadange.
Sio mroho hivyoHapana akipata wine niko Defrancee na henness apitie hapa...nadhan na huduma yake itakuwepo