Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #261
Wanavyotuponda sasa utadhan wao wana tabia nzuri kumbe balaaa bora hata sieWatu povu linawatoka!Ila ukikuta mada kama hii kaanzisha mwanamme angesifiwajeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanavyotuponda sasa utadhan wao wana tabia nzuri kumbe balaaa bora hata sieWatu povu linawatoka!Ila ukikuta mada kama hii kaanzisha mwanamme angesifiwajeee!
Kwa hiyo wewe ukinikuta na Dr ulimboka unaniacha? Asante kwa taarifa dawa kukupeleka viwanja vya uswahilini.Hhheeee wakati nasikia ukiikamata ni kama hutoiona tena
EkzatiliiiTukumbushie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli wahenga walinena ' kung'wimbila nchibha kumala membo'
Maana yake, kumwimbia kiziwi utamaliza nyimbo zote hakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahajjkuwa na sura chachu ni mtihani mkubwa sana aisee....ona sasa.
Ukipata jibu ushare na mimi mkuuHivi mzigua na mama Sabrina mna umri gani ?
Hivi mzigua na mama Sabrina mna umri gani ?
Sana tuDah kweli umenena aya mambo yanatokea mashemeji sio watu
wahenga wana 55+ na wajukuu kibao tu[emoji16][emoji16]Hivi mzigua na mama Sabrina mna umri gani ?
Wewe ulivyo mtamu wallah siwezi kutamani kwingine,unajua kawaida ya watu kutamani ambavyo hatuna,so we huja pesa tu lakin vingine vyote unavyoKwa hiyo wewe ukinikuta na Dr ulimboka unaniacha? Asante kwa taarifa dawa kukupeleka viwanja vya uswahilini.
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nmecheka snKuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Tunalingana wenyewe tuna wajukuu kabisaHivi mzigua na mama Sabrina mna umri gani ?
Ahhahahaah sie wahenga sisiiwahenga wana 55+ na wajukuu kibao tu[emoji16][emoji16]
basi wewe wa kishua sikuwezi aseeh.Wewe ulivyo mtamu wallah siwezi kutamani kwingine,unajua kawaida ya watu kutamani ambavyo hatuna,so we huja pesa tu lakin vingine vyote unavyo
mmmh!Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Nataka niwaoe wewe mzigua na kapeaceTunalingana wenyewe tuna wajukuu kabisa