Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kweli wahenga walinena ' kung'wimbila nchibha kumala membo'

Maana yake, kumwimbia kiziwi utamaliza nyimbo zote hakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo wewe ukinikuta na Dr ulimboka unaniacha? Asante kwa taarifa dawa kukupeleka viwanja vya uswahilini.
Wewe ulivyo mtamu wallah siwezi kutamani kwingine,unajua kawaida ya watu kutamani ambavyo hatuna,so we huja pesa tu lakin vingine vyote unavyo
 
Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nmecheka sn
 
mmmh!
 
Back
Top Bottom