[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anacheza tu huyo kwanza sisi ndio tunaongoza kwa kuwa na tabia nzuri jf
Baba mkwe hapana sasa kuna limitKesho akija na baba yake nae mzuri, handsome si utamchetua hadi baba mkwe??
Tatizo umenipanikisha but subiri kidogo. Umri bado ngoja kwanza nyonga zitanuke maana maana Nina uchu nikikushika nitakupiga magori hayahesabikiWewe tena? Si umesema nafaa kuwekwa ndani mara tena huwezi. Kuwa na msimamo basi mkuu. Unanitaka au unacheza na hisia zangu?
Khah!Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Mwanaume mwenzie pesa. Ukiwa mzuri huna pesa ni sawa na mtu asie na tako afu avae kijora.Mwanaume hata awe mzuri vipi asipokuwa na ela tu,kwangu sawa na habari za tamu jf bila picha.
Yaan bora akuache kabisa tu homeHakuna kitu kinaudhi kama uwe na bwana halafu muende sehemu ugundue analipiwa bill.
AhahahahaahahahMwanaume hata awe mzuri vipi asipokuwa na ela tu,kwangu sawa na habari za tamu jf bila picha.
Sawa mkuu niko tayari unipige hayo magori.Tatizo umenipanikisha but subiri kidogo. Umri bado ngoja kwanza nyonga zitanuke maana maana Nina uchu nikikushika nitakupiga magori hayahesabiki
Au ilo kwako si tatizo.
Kama ndio naomba tunywe siku moja kikombe kimoja na wewe
Tunaacha umbeya,kusutana,kuchukuliana mabwana,kwenda kwa waganga,kila kitu tunaachaAkituoa tutabadilika kweli.
Nini mkuu?Khah!
Sawa halii mtu,sema inatokeaga mmoja ananogewa kwenye kuonjanaKumbe kuonjana? Msiwe mnalia na kulalamika tukiwaacha.
Hahahaaaa bili ikija anatoa majicho kama mjusi aliyebanwa na mlango......Hakuna kitu kinaudhi kama uwe na bwana halafu muende sehemu ugundue analipiwa bill.
Usiulize kalijuaje ahahahahMkuu umeongea kauli ya wadangaji. Hilo neno kuchetua nililisikia kwa malaya wa China.
Yaan tuna A ,tabia nzuri ,,tuna msimamo,wakweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho akija na baba yake nae mzuri, handsome si utamchetua hadi baba mkwe??
Umeongea Ukweli Mchungu sana. Wengi hua hawausemi..Mama Sabrina again!!!!!
Ni hivi unakuta umeitwa na mpenzi wako sehemu au mahala fulani halaf ,tatizo sio kukuita hiyo sehemu hapana,tatizo ni watu uliowakuta na mpenzi wako hapo,yaan kakaa na watu wamemzidi kipato,wamemzidi uzuri wananukia kuzidi yeye,,hivi hamfikiriii bora muwe mnatuita mkiwa mmekaa wenyewe tu,sio tabia nzuri unaniita Mama Sabrina njoo hapa Catalunya ,huyo nami nakuja nakukuta umekaa na wakaka wazuri kukuzidi wewe hivi unategemea nini??
Unadhan mimi sina moyo au wanawake hatuna moyo?tunayo sana tena inachuruzika midamu tu,mnadhan sisi hatutamani?tunatamani sana sema huwa tunajikaza kweli.
Angalia watu uliokaa nao ndio umuite mwenzio sio baadae mapinduzi ya mechi yatokee tulaumiane,,hata sisi wanawake huwezi kuwa unaenda kwa mpenzi wako unaongozana na wanawake wazuri kukuzidi wewe nenda na wabaya wabaya au wa kawaida ama nenda peke yako,,tena bora sisi huvumilia wanaume hamna haya nyie malaya wakubwa unakuwa umemletea mboga kabisa unashangaa tu mnaanza ugomvi na shoga kumbe ashaonjeshwa utamu game limemkolea,,na kuna wakaka wanajua kweli kunogesha wanawake kunako majambozi,,tuhurumieni nasi huwa tunazidiwa
Unakuta mwanaume anakutongoza jamanii anakuita sehemu ndio mnajuana sasa yaan unakuta kazungukwa na wakaka yaan unaanza kujuta ,na kama hujamkubalia inabidi ujipoze moyo,hii tabia inakera sana ,sisi wanawake tunapenda wanaume zetu wawe juu,basi ukute sasa anazidiwa na akili basi ndio unamuacha kabisa,,uwe umezidiwa lakin uwe smart sanaa,lakin mjinga mjinga tunakuwaacha.
binadam tumezidiana madaraja kila sehemu ukweli mchungu huu,
Mfano nataka mnielewe zaidi ili mkimwaga mapovu muwe mmeelewa ee mfano anakutaka hamornize ,,siku unaenda onana na hamornize unamkuta yupo na docta ulimwengu hivi kweli ni akili au matope unakaaje na mwanaume mzuri vile halaf mi nikukubalie mfffyuuuuu,mnatutia majaribuni halaf ukute mahusiano na huyo mwanaume hayana mbele wala nyuma kwanini usifurahishe nafsi
Haya mambo yanatokea sana tu
Hakikisha unakutana na mpenzi wako mwenyewe,,hakikisha upo smart umewazidi kitu flan rafiki zako ndio unamuita mpenzi wako
Tumeelewana???? Haya tiririkeni
Unaona eeh. Mie na uzuri wake aende miss world basi...mwanaume kwangu simsifii sura wala uzuri,pesa tu.Mwanaume mwenzie pesa. Ukiwa mzuri huna pesa ni sawa na mtu asie na tako afu avae kijora.
Halaf ananitumia sms zake hapa ashaniudhiiHuyo baba Sabrina bora angeoa kichaa kuliko wewe
Yani unaona kama kaenda kukudhalilisha. Kuna mkaka mzurii wa mji huu na lazima ushamuona insta huyu kaka maana wadada wanampenda . Nikajitosa bwana bila kujua hapendagi kulipa bill. Basi tukitoka na marafiki zake tunakuunywa tunakuula ila sioni akilipa bill. Si ndo nikaja kujua hapendagi kulipa bill na pombe zikibaki ile mnahama kiwanja anazibeba anapeleka kwake. Siku nilimpigia simu nikamwambia baby it's over. Haamini mpaka leo nilimuachaje. Nilishindwa zile aibu halafu malaya mbwa.Yaan bora akuache kabisa tu home