Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Hahahaaaa bili ikija anatoa majicho kama mjusi aliyebanwa na mlango......
Kwani hata anatoa macho? Unamuona tu anazuga anaongea na simu mara kaenda mara karudi kumbe hana 100 mfukoni.
 
Yani unaona kama kaenda kukudhalilisha. Kuna mkaka mzurii wa mji huu na lazima ushamuona insta huyu kaka maana wadada wanampenda . Nikajitosa bwana bila kujua hapendagi kulipa bill. Basi tukitoka na marafiki zake tunakuunywa tunakuula ila sioni akilipa bill. Si ndo nikaja kujua hapendagi kulipa bill na pombe zikibaki ile mnahama kiwanja anazibeba anapeleka kwake. Siku nilimpigia simu nikamwambia baby it's over. Haamini mpaka leo nilimuachaje. Nilishindwa zile aibu halafu malaya mbwa.
Ahahahahah bora awe malaya halaf alipe bill,,yeye malaya halaf halipi wa ninii sasa
 
Hii mishe haijawahi nitokea,ila Mimi inanikera Naenda sehemu Na mtu halafu kuna kijitu wanajiitaga wapambe,yaani ye anamjaza misifa tu ili ale,anywe... ***** nawa mind mijitu ya hivo.
Hahahaaa. Ukiwa na mimi hela za kuwapa wapambe hazipo. Kwanza hata kununulia watu mipombe ya bei staki. Unanunua round moja baasi. La sivyo nakunyanyua tuondoke unachezea hela na mie ntapata nini sasa.
 
Back
Top Bottom