Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Halafu jinsi unavyoulezea uzuri wa mtu utadhani unaeleza formula ya hesabu.
Hakuna mwanamke ama mwanaume mbaya.
Uzuri wa mtu 'hujajiwa' na hisia za muangaliaji.
Pia uzuri wa mtu inategemea ni uzuri wa nini unaoutaka wewe!
M/Mungu hajatuumba na kutupatia uzuri kwa %100, hapana. Kila umuonaye mzuri, lazima ana ubaya wake.
Pia unayemuona mbaya, ana uzuri wake pia.
Kwa mfano mimi ninaamini mwanamke mwenye sura mbofumbofu, ana thamani sana kwenye suala zima la 6×6.
Huyo unayemuona na kuusifia uzuri wake, ukianza kuwa-group kwenye uhalisia wa uzuri, huyo anakuwa ni mfagizi tu wa kwa sura mbaya kwenye mambo ya 'malovee'. Upo hapo?
 
Hahahaaa. Ukiwa na mimi hela za kuwapa wapambe hazipo. Kwanza hata kununulia watu mipombe ya bei staki. Unanunua round moja baasi. La sivyo nakunyanyua tuondoke unachezea hela na mie ntapata nini sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nishazingua sana mpaka nakandiwa,lakini jamaa ndio ashazama hasikiii
 
Hahahaaa. Ukiwa na mimi hela za kuwapa wapambe hazipo. Kwanza hata kununulia watu mipombe ya bei staki. Unanunua round moja baasi. La sivyo nakunyanyua tuondoke unachezea hela na mie ntapata nini sasa.
Hahahaha mimi anunue tu za kunipa atajua atakapozitoa kama sijaondoka na ufunguo wa gari haa
 
Malaya na bill halipi. Anafanya kazi sehemu nzuri, gari zuri, nyumba nzuri ye mwenyewe mzuri shida tu hataki majukumu. Ila mi nlikua namkomesha.
Linani hilooo utanitajia pm nisijekwaa zigo la mavi
 
Hakuna tatizo, mnakamilisha History yenu tu. Kwani hukumbuki hata kwny bustani ya Eden, mwanamke ndo aliyemsaliti mwanaume..?? So always mwanamke huwa ndio chanzo...!!! Wanaume tunawapenda sn nyie, ila nyie ndo mnatuvuruga..!!
 
Back
Top Bottom