mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Haya mkuu tuonane huko wanapopaita pm ila nikiona tu unaanza tamaa tamaa mi huyooopSawa mkuu niko tayari unipige hayo magori.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mkuu tuonane huko wanapopaita pm ila nikiona tu unaanza tamaa tamaa mi huyooopSawa mkuu niko tayari unipige hayo magori.
Yote tunaacha shoga angu tushasitiriwa tenaTunaacha umbeya,kusutana,kuchukuliana mabwana,kwenda kwa waganga,kila kitu tunaacha
Unaona sasa wengine wanajikatalisha hapaUmeongea Ukweli Mchungu sana. Wengi hua hawausemi..
Hii mishe haijawahi nitokea,ila Mimi inanikera Naenda sehemu Na mtu halafu kuna kijitu wanajiitaga wapambe,yaani ye anamjaza misifa tu ili ale,anywe... ***** nawa mind mijitu ya hivo.Hakuna kitu kinaudhi kama uwe na bwana halafu muende sehemu ugundue analipiwa bill.
Kwani hata anatoa macho? Unamuona tu anazuga anaongea na simu mara kaenda mara karudi kumbe hana 100 mfukoni.Hahahaaaa bili ikija anatoa majicho kama mjusi aliyebanwa na mlango......
Kama bure hapana hauzi wala hatoi bureHaya mkuu tuonane huko wanapopaita pm ila nikiona tu unaanza tamaa tamaa mi huyooop
Kaulizia bikra,,,,haijalishi ya mdomo ,mbele au nyuma ,,cha msingi iwe bikra tu[emoji1] [emoji1]Labda ya nyuma huku kwetu tunaanzaga michezo mapema sana.
Hahahaaa. Mi mkubwa. Majibu ninayo tayari.Usiulize kalijuaje ahahahah
Kwa hiyo kumbe hamjaolewa?Tunaacha umbeya,kusutana,kuchukuliana mabwana,kwenda kwa waganga,kila kitu tunaacha
Basi wengine wanamsema wakati kawasaidia.Umeongea Ukweli Mchungu sana. Wengi hua hawausemi..
Ahahahahah bora awe malaya halaf alipe bill,,yeye malaya halaf halipi wa ninii sasaYani unaona kama kaenda kukudhalilisha. Kuna mkaka mzurii wa mji huu na lazima ushamuona insta huyu kaka maana wadada wanampenda . Nikajitosa bwana bila kujua hapendagi kulipa bill. Basi tukitoka na marafiki zake tunakuunywa tunakuula ila sioni akilipa bill. Si ndo nikaja kujua hapendagi kulipa bill na pombe zikibaki ile mnahama kiwanja anazibeba anapeleka kwake. Siku nilimpigia simu nikamwambia baby it's over. Haamini mpaka leo nilimuachaje. Nilishindwa zile aibu halafu malaya mbwa.
Mwanaume hasifiwi sura bali pochiiUnaona eeh. Mie na uzuri wake aende miss world basi...mwanaume kwangu simsifii sura wala uzuri,pesa tu.
Mwambie tupo tayariYote tunaacha shoga angu tushasitiriwa tena
Sasa wewe ndo unataka kunio unataka tamaa niimpelekee nani?Haya mkuu tuonane huko wanapopaita pm ila nikiona tu unaanza tamaa tamaa mi huyooop
Hata Mimi sijawahi kupenda vya bureKama bure hapana hauzi wala hatoi bure
Afadhali umesema ukweli.. ...yaani ndo hivyo hivyo.... Angalieni tusije tukaamua kununua midoli. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mpaka muwe vichaa ndio tutaridhika
Tunaolewaje na hii midomo sasa tunaongea wewe nani atuoe labda we utusaidieKwa hiyo kumbe hamjaolewa?
Hahahaaaaaa akitoka hapo anadandia lifti ya watu mnashushwa kituo cha gari kilicho karibu yenuKwani hata anatoa macho? Unamuona tu anazuga anaongea na simu mara kaenda mara karudi kumbe hana 100 mfukoni.
Hahahaaa. Ukiwa na mimi hela za kuwapa wapambe hazipo. Kwanza hata kununulia watu mipombe ya bei staki. Unanunua round moja baasi. La sivyo nakunyanyua tuondoke unachezea hela na mie ntapata nini sasa.Hii mishe haijawahi nitokea,ila Mimi inanikera Naenda sehemu Na mtu halafu kuna kijitu wanajiitaga wapambe,yaani ye anamjaza misifa tu ili ale,anywe... ***** nawa mind mijitu ya hivo.
Eeeh ndiooMwanaume hasifiwi sura bali pochii