Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Ewaaaa sisi ndio tupo hivyo hata uchepuke wanyamaze hayawahusu kabisa umbea hatutaki kwa mme wetu
Hahaaaa! [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sipendi michepuko, hizo pesa nitakazopeleka kwa michepuko si ni bora niwaongezee mitaji mkuze shughuli zenu!
 
Mkeo akichepuka jua ndo kwaheri. Mke kabisa kuchepuka sio rahisi ila akichepuka sasa andika maumivu. Kusema udhaifu ni ujinga tu.
 
Hahaaaa! [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sipendi michepuko, hizo pesa nitakazopeleka kwa michepuko si ni bora niwaongezee mitaji mkuze shughuli zenu!
Basi we mme mzuri kweli twaja pm wallah
 
Basi wengine wanamsema wakati kawasaidia.
Binafsi hili nilikua naliona hili tatizo tangu zamanii sana. Japo sijawahi kuelezea hii hali. Nimekupa Big up sana kwasababu kwasababu umelieleza inavyotakiwa haswa na kwa ujasiri mwingi.

Cause Wanaume wengi huamini mwanamke hajitambui na yule anayechepuka ni lazima atakua malaya tu. Kumbe nao wana vigezo nao wana vimisi ile sana tu.

Mie nilikua, handsome fulani amazing zamani za ujana. Sasa nakumbuka nikiwa na washkaji zangu.

Nimeshajikuta naonekana mporaji wa mademu za watu kwasababu hii. Yaani mshkaji anataka anikutanishe na demu wake anitambulishe.

Demu anaponiona tu, anaanza flirting za hapa na pale. Mapema Asubuhi mpaka najua.

Demu Mwingine anaamua kuja kukuletea matatizo ya jamaa yake. Kumbe anakutaka kinamna.

Mwingine ukiwa naye, ukimgusia demu na kumsifia jamaa yake kwa chochote.
Unamuona demu hapendi hayo mastori. Anakasirika sana. Hapo mwanaume najua hampendi mshkaji.

Sasa ili ku make peace unaamua unaamua kupotezea stori za hivyo.

Ila sasa ukithubutu kumtongoza unakua, kama umemsukuma mlevi. anakuvamia kwa french kiss mapema sana.

Mwisho anakupa apple unaanzia kujilia kwa siri.

Sasa mapenzi hayana siri, jamaa yake akijua kasalitiwa si anaanzisha ugomvi fulani.

Baad aya kutoka hapo, Ghafla Unamuona demu anavyofurahi. Hajutii kusaliti mahusiano yake.
Yaani mwili wake unasisimka kwa furaha na kicheko cha raha fulani( sio cha kulazimisha), mpaka unajua kweli demu amekolea kwako.

Na alikua anaombea mahusiano na jamaa yake yafe siku nyingi...


Ni kweli usimkutanishe demu wako na waliokuzidi kipatoz usafiriz uhandsome espwcially first time. Pia usipende kumzoesha kwa marafiki zako waliokuzidi vigezo.

Labda uwe mwanaume mwenye confidence ya kiwango cha Ghorofa. Yaani mjanja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…