Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole Mzigua90.

Hata sisi napo tunakumbana kadhia kama hizi, unakuta mtoto mzuri anaita Kaka, mwingine anasalimia Shikamoo.

Wanachoshaaaa na kuvunjaaa mitego sana mtu uliyoipanga kuitega
 
Me kiukweli nlishawahi kulaa demu wa Jamaa maana alikuja nyumba tunayoishii akawa bado ni rafiki na mshkaji sasa yule dada alikua anapenda sana watu wanaosoma ishu za Afyaa afuu jamaa alikuwa anasoma ishu gani sijui huko
...eeeh bhana jamaa kaondoka kamuach manzi ndani story nae mara tukapeana nambaa..!! Mwisho wa siku daah japo nlijisikia vibaya ilaa Ufisii mbayaa sometimes..
 
Umeanza kutoa ushuhuda ,mwanzo uenichamba weeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole Mzigua90.

Hata sisi napo tunakumbana kadhia kama hizi, unakuta mtoto mzuri anaita Kaka, mwingine anasalimia Shikamoo.

Wanachoshaaaa na kuvunjaaa mitego sana mtu uliyoipanga kuitega
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli ase
 
Haa ha..sasa mdada mwenyewe ndo alidataa me nifanyajee..!! So mambo ya kawaidaa ilaa hatukudumuu coz alinipenda kwa sababu fulani and pesaa pia ilikuwa mizinguo
Kuna mchizi unampendea kipaji chake,mwingine mcheshi ukiwa nae haboi,,mwingime pesa basi tafarani
 
Mama Sabrina again!!!!!
Ni hivi unakuta umeitwa na mpenzi wako sehemu au mahala fulani halaf ,tatizo sio kukuita hiyo sehemu hapana,tatizo ni watu uliowakuta na mpenzi wako hapo,yaan kakaa na watu wamemzidi kipato,wamemzidi uzuri wananukia kuzidi yeye,,hivi hamfikiriii bora muwe mnatuita mkiwa mmekaa wenyewe tu,sio tabia nzuri unaniita Mama Sabrina njoo hapa Catalunya ,huyo nami nakuja nakukuta umekaa na wakaka wazuri kukuzidi wewe hivi unategemea nini??
Unadhan mimi sina moyo au wanawake hatuna moyo?tunayo sana tena inachuruzika midamu tu,mnadhan sisi hatutamani?tunatamani sana sema huwa tunajikaza kweli.

Angalia watu uliokaa nao ndio umuite mwenzio sio baadae mapinduzi ya mechi yatokee tulaumiane,,hata sisi wanawake huwezi kuwa unaenda kwa mpenzi wako unaongozana na wanawake wazuri kukuzidi wewe nenda na wabaya wabaya au wa kawaida ama nenda peke yako,,tena bora sisi huvumilia wanaume hamna haya nyie malaya wakubwa unakuwa umemletea mboga kabisa unashangaa tu mnaanza ugomvi na shoga kumbe ashaonjeshwa utamu game limemkolea,,na kuna wakaka wanajua kweli kunogesha wanawake kunako majambozi,,tuhurumieni nasi huwa tunazidiwa

Unakuta mwanaume anakutongoza jamanii anakuita sehemu ndio mnajuana sasa yaan unakuta kazungukwa na wakaka yaan unaanza kujuta ,na kama hujamkubalia inabidi ujipoze moyo,hii tabia inakera sana ,sisi wanawake tunapenda wanaume zetu wawe juu,basi ukute sasa anazidiwa na akili basi ndio unamuacha kabisa,,uwe umezidiwa lakin uwe smart sanaa,lakin mjinga mjinga tunakuwaacha.
binadam tumezidiana madaraja kila sehemu ukweli mchungu huu,
Mfano nataka mnielewe zaidi ili mkimwaga mapovu muwe mmeelewa ee mfano anakutaka hamornize ,,siku unaenda onana na hamornize unamkuta yupo na docta ulimwengu hivi kweli ni akili au matope unakaaje na mwanaume mzuri vile halaf mi nikukubalie mfffyuuuuu,mnatutia majaribuni halaf ukute mahusiano na huyo mwanaume hayana mbele wala nyuma kwanini usifurahishe nafsi
Haya mambo yanatokea sana tu

Hakikisha unakutana na mpenzi wako mwenyewe,,hakikisha upo smart umewazidi kitu flan rafiki zako ndio unamuita mpenzi wako
Tumeelewana???? Haya tiririkeni
Bila shaka utakuwa Malaya ww... Mana kwa mada hii c bure, kuna k2 utakua umemic tokea uolewe au kuingia kwny mahusiano... Mana mwanamke anaejielewa hawez post upuuz kam huu... Ataonekana haelew analotenda, pole
 
Wanawake hivi mpoje, mnaturoga sana. Kwa waganga mnatuendea sisi, mkitoka Huko mnatuendea kwa manabii, hivi mnataka tuweje sasa na nyie mnatuchanganya kama concrete mixer

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bujibuji ukishapelekwa kote huko lazima uwe zezeta chezeiya kulishwa kucha na vuzi la marehemu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole Mzigua90.

Hata sisi napo tunakumbana kadhia kama hizi, unakuta mtoto mzuri anaita Kaka, mwingine anasalimia Shikamoo.

Wanachoshaaaa na kuvunjaaa mitego sana mtu uliyoipanga kuitega
Hahahahaaa.
 
Bila shaka utakuwa Malaya ww... Mana kwa mada hii c bure, kuna k2 utakua umemic tokea uolewe au kuingia kwny mahusiano... Mana mwanamke anaejielewa hawez post upuuz kam huu... Ataonekana haelew analotenda, pole
Asante kaka ,ngoja niongee na baba sabrina ntakujibu sema Ameen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bujibuji ukishapelekwa kote huko lazima uwe zezeta chezeiya kulishwa kucha na vuzi la marehemu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahahahahahah bado hajalishwa na mengine acha tu wanaume wafe mapema
 
Sasa mimi mwenye marafiki wengi walionizidi pesa si ndiyo mtaniacha kila siku.

Marafiki zangu wakubwa wengi wamenizidi umri na pesa .[sijui hata kwanini]
Lini tunaenda kuwatembelea shemeji zangu bby?
 
Back
Top Bottom