haya bwana, endeleeni kuchakachua................. naona mnaipotezea, sijui inawahusu!
Thats name calling eh?...
Hujambo lakini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya bwana, endeleeni kuchakachua................. naona mnaipotezea, sijui inawahusu!
Hahaha msalimie Eliza mwambie kinaaza housi hawawamind sana wao kama wanavyomind housi gel..
wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!
Thats name calling eh?...
Hujambo lakini??
MJ1 umenikumbusha mama mmoja juzi kaletewa H/G kafungasha kinoma ,Mama kaenda kazini na kuacha maagizo akirudi asimke huyo dada hahaha naona alishindwa kujiamini
Nna post via mobile kama wewe
salama rafiki? Happy new year!
oh oh! sipo tayari kuwa-banned, please...............
mimi mzima, weye je?
unamleta h/g ana sura nzuri, umbo kuzidi 1st lady, na anajua kwamba jamaa akichakachua tu pesa za salun hazitampiga chenga! halafu 1st lady mwenyewe mvivu wa huduma, lazima tuchakachue jamani! ndo tulivyoumbwa hivyo kutamani vitu vizuri. sasa mnalalamika nini? mbona ninyi wanawake mnatamani magold, magari mazuri (material thing)! Na sisi tunatamani hiyo kitu K
Salama mpenzi. Happy New Year kwako pia.
Ikawaje ukapotea hivyo rafiki? Unajua ulivonitesa kwa kukumisi? Usirudie tena bana
Can't complain....The Maker is keeping ma breath alive.....
Masikitiko yameisha sio....
Heri ya 2011...:smile-big:
ha haaaaaaaaaa, pole sana rafiki kwa kukutesa kwa kunimisi, nilikumisi pia. nilienda kulima kidogo huko kijijini, si unajua tena, wakwe wanapenda mkamwana anayejua kulima!
Kuna mmoja anaitwa Leyla pale King Star...nimekuwekea kwa heshima yako.
Hope ulihesabiwa na kuingizwa kwenye daftari la kudumu la wahijaji wa Yerusalemu mpya.
Imebidi yaishe, nayafanyia kazi mamichango ya watu kwenye hii thread.
Heri ya 2011 kwako pia
Kuna mawili:
1. Kina mama wanabinafsisha hata majukumu yanayowapasa kuyafanya wenyewe. Sasa hivi wake zetu wanatoka asubuhi na kurudi usiku hata baada ya waume zao kulala, na hivyo HG anakuwa ndio HEAD GIRL hapo nyumbani kwa kila kitu.
2. Wanawake wakizoeana na waume zao, wanaanza ile tabia ya kuona ngono ni usumbufu na kwamba ni msaada kwa mwanaume. Wanawaacha waume zao 'wafanye tu' na 'wakikojoa' walale.
Hata hivyo, HG ni mfanyakazi kama walivyo wengine. Mbona ofisi nyingi wafanyakazi wa kike wanatembea na mabosi wao tunaona ni jambo la kawaida?