Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

Kina mama tatizo hili mnalitaka wenyewe zamani mahausigeli walivyokuwa wanatoka Mbeya/Iringa/lindi matatizo haya hayakwepo yameanza baada ya nyinyi kuleta hawa warembo wa Singida/kondoa/Manyara hebu chunguzeni.
 
Hahaha msalimie Eliza mwambie kinaaza housi hawawamind sana wao kama wanavyomind housi gel..

Kuna mmoja anaitwa Leyla pale King Star...nimekuwekea kwa heshima yako.
 
wakati mwingine sisi wenyewe kina mama tunachangia sana,mama anashindwa kumwandalia mumewe chakula,kufua na kupiga basi,kusafisha viatu ,kukata kucha,kumuandalia matunda,maji ya kuoga yooooote hayo yanafanywa na msichana sasa hapo kaolewa nani/msichana au huyo mama feki?mwanaume ni kama mtoto utakavyompeti peti pamoja na udhaifu wake lkn bado atakuheshim tu maana ww ni mama yake wapili katika malezi,mwanammke kuanzia j3 mpaka j2 uko busy tu hujui hata mumeo kala nn kashindaje utasema umekuwa dei worker wa daladala?tunajua majukum tuliyonayo ni mengi lkn tunapaswa kuwa na mda na familia zetu jamani tuachane na utandawazi na uzungu mwingi tukumbuke mila zetu na kutunza familia zetu,am out!

pearl 100% uko right. Can u imagine sometimes hata mwanaume anapotaka kukaa home au kutoka out mama anamwambia nenda out na watoto na h/g yeye yuko bize na kazi au biashara. Sie twala tukipewa.
botton line:
asiyekuwa machoni hata moyoni huwa haonekani!!!
 
mh! Ila wenyewe wanajirahisisha hawa mah/g mana unamkuta wanadanganywa kidogo 2uu bac kasha ingiliwa yan ni wajinga ile mbaya cha msing ni kutokuwa na muda na yeye 2
 
MJ1 umenikumbusha mama mmoja juzi kaletewa H/G kafungasha kinoma ,Mama kaenda kazini na kuacha maagizo akirudi asimke huyo dada hahaha naona alishindwa kujiamini

unamleta h/g ana sura nzuri, umbo kuzidi 1st lady, na anajua kwamba jamaa akichakachua tu pesa za salun hazitampiga chenga! halafu 1st lady mwenyewe mvivu wa huduma, lazima tuchakachue jamani! ndo tulivyoumbwa hivyo kutamani vitu vizuri. sasa mnalalamika nini? mbona ninyi wanawake mnatamani magold, magari mazuri (material thing)! Na sisi tunatamani hiyo kitu K
 
oh oh! sipo tayari kuwa-banned, please...............
mimi mzima, weye je?

Can't complain....The Maker is keeping ma breath alive.....
Masikitiko yameisha sio....
Heri ya 2011...:smile-big:
 
unamleta h/g ana sura nzuri, umbo kuzidi 1st lady, na anajua kwamba jamaa akichakachua tu pesa za salun hazitampiga chenga! halafu 1st lady mwenyewe mvivu wa huduma, lazima tuchakachue jamani! ndo tulivyoumbwa hivyo kutamani vitu vizuri. sasa mnalalamika nini? mbona ninyi wanawake mnatamani magold, magari mazuri (material thing)! Na sisi tunatamani hiyo kitu K

Kumbe ndio ,mlivyoumbwa ?
 
Salama mpenzi. Happy New Year kwako pia.

Ikawaje ukapotea hivyo rafiki? Unajua ulivonitesa kwa kukumisi? Usirudie tena bana

ha haaaaaaaaaa, pole sana rafiki kwa kukutesa kwa kunimisi, nilikumisi pia. nilienda kulima kidogo huko kijijini, si unajua tena, wakwe wanapenda mkamwana anayejua kulima!
 
Can't complain....The Maker is keeping ma breath alive.....
Masikitiko yameisha sio....
Heri ya 2011...:smile-big:

Imebidi yaishe, nayafanyia kazi mamichango ya watu kwenye hii thread.
Heri ya 2011 kwako pia
 
ha haaaaaaaaaa, pole sana rafiki kwa kukutesa kwa kunimisi, nilikumisi pia. nilienda kulima kidogo huko kijijini, si unajua tena, wakwe wanapenda mkamwana anayejua kulima!

Hope ulihesabiwa na kuingizwa kwenye daftari la kudumu la wahijaji wa Yerusalemu mpya.
 
Kuna mmoja anaitwa Leyla pale King Star...nimekuwekea kwa heshima yako.

Skulimeti, kwahiyo umeamua kuchukua rushwa kotekote? Ok ebu nimpigie Jose aniitie Emmy niongee naye kidogo!
 
Kuna mawili:

1. Kina mama wanabinafsisha hata majukumu yanayowapasa kuyafanya wenyewe. Sasa hivi wake zetu wanatoka asubuhi na kurudi usiku hata baada ya waume zao kulala, na hivyo HG anakuwa ndio HEAD GIRL hapo nyumbani kwa kila kitu.
2. Wanawake wakizoeana na waume zao, wanaanza ile tabia ya kuona ngono ni usumbufu na kwamba ni msaada kwa mwanaume. Wanawaacha waume zao 'wafanye tu' na 'wakikojoa' walale.

Hata hivyo, HG ni mfanyakazi kama walivyo wengine. Mbona ofisi nyingi wafanyakazi wa kike wanatembea na mabosi wao tunaona ni jambo la kawaida?
 
kama si dini na utandawazi, kungekuwa hakuna beki 3. kazi zikizidi unaongeza mke kusaidiana na bi mkubwa sasa mnaleta majaribu kwa kuongeza mke na kumwita HG. au mwataka kujua kama waume zenu wana asili ya utawa nini?

dnt try that at hme
 
Kuna mawili:

1. Kina mama wanabinafsisha hata majukumu yanayowapasa kuyafanya wenyewe. Sasa hivi wake zetu wanatoka asubuhi na kurudi usiku hata baada ya waume zao kulala, na hivyo HG anakuwa ndio HEAD GIRL hapo nyumbani kwa kila kitu.
2. Wanawake wakizoeana na waume zao, wanaanza ile tabia ya kuona ngono ni usumbufu na kwamba ni msaada kwa mwanaume. Wanawaacha waume zao 'wafanye tu' na 'wakikojoa' walale.

Hata hivyo, HG ni mfanyakazi kama walivyo wengine. Mbona ofisi nyingi wafanyakazi wa kike wanatembea na mabosi wao tunaona ni jambo la kawaida?

kwa hiyo hapa unataka kuhalalisha ?
 
Back
Top Bottom