Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

rafiki, huko nilikoenda hakuna sensa, ni jembe tu asubuhi mpaka jioni, msosi embe.

Aisee, umeshapima uzito? Hebu fanza maarifa kama umepungua nitafute sababu ya kukufakamisha minyama ya kurosti!
 
 
Asprin nasikia nimechoka ghafla ila sio beki tatu kanichosha :Cry:
Ngoja nikakamate Valuer mbili kichwa kikae fresh
 
nina hakika ushauri wangu unahitajika katika hii sredi lakini nawahi kikao kidogo, msihuzunike nitalejea. naomba mod wasije wakaipeleka hii sredi kwenye jukwaa la wakubwa sina access ya huko.

asanteni kwa ushirikiano.
klorokwini a.k.a kibaka mzoefu.

:ranger:
 
Katika hicho kikao hamkujiuliza kama hamna nyie sio kasoro ? maana haiiwezekani sie tu ndo tuwe na matatizo 95% tuwe na shida haiwezekani lazima hapa formula iwe reversed, huwezi kusema 95% tunapenda wenyewe there must be a very very strong reason ..
 
Katika hicho kikao hamkujiuliza kama hamna nyie sio kasoro ? maana haiiwezekani sie tu ndo tuwe na matatizo 95% tuwe na shida haiwezekani lazima hapa formula iwe reversed, huwezi kusema 95% tunapenda wenyewe there must be a very very strong reason ..

Ni kweli Easymutant ningependa na wewe uje na Takwimu zako my dear,hiki kilikuwa kikao kifupi cha wabeijing ,ingawa mada hii imenisaidia sana kwa baadhi ya michango ya wanaume
 
Sasa namba za simu utaandika kwenye twente sauzend?

Nijibu kwanza niwe na bidigadi?
Namba za simu fomula ni kama kawa ,unajua fomula weye?ukitoka pitia counter utazikuta:mvutaji:smoke tym
 
Nijibu kwanza niwe na bidigadi?
Namba za simu fomula ni kama kawa ,unajua fomula weye?ukitoka pitia counter utazikuta:mvutaji:smoke tym

Nimekujibu kwenye sms...sitaki watoto waone.
 
Hiyo bado si sababu ya kukufanya wewe uanze kupiga mbizi na H/G

Ma H/Gs wanakaa sana ndani na wanakuwa ni genuine au kama ni used basi ni kidogo sana...hivyo wanakuwa wananoga sana. Pia kama mlikuwa hamjui Ma H/Gs ni mke wa pili wa mwanaume na ndio maana yupo pale. Ina maana yeye shida zake atatuliwe na nani? Yaani yeye akeshe usiku kucha akisikiliza jinsi mnavyokichezesha kitanda tuuu? kweche..kweche....kweche....kweche...kweche....kweche....
 
...sababu ni nyingi, nita share nanyi hizi kwanza kila mtu atafakari linalomgusa;

18. They were raised around it – Most men that cheat have grown up watching their fathers do it. Again, the only surefire prevention for this is to make sure your relationship is healthy and honest.
16. Emotional Disconnect – Believe it or not, it's not all about sex. Be sure to at least show an interest in your man's feelings and interests. If you don't, chances are good that he will seek it elsewhere.
13. To end a relationship – Sadly, there's not much you can do to prevent this. If a man wants out and his rudeness or arguments against you aren't doing the trick, they may go to this drastic measure to end things.
8. It's exciting – Anything new sexually is going to appeal to your man, especially if a new woman is involved. Keep him seeking that excitement at home and you shouldn't have this problem.
6. Revenge – If he's been cheated upon, the chances are very good that he will return the favor.
4. He knows you'll forgive him – If he's been caught before and you forgave him, he will take advantage of your forgiveness. Simply state that there is zero tolerance for cheating in your relationship before things get serious.
3 . His partner doesn't put out – If his sexual needs aren't being met, he may find an urge to have the met somewhere else. To turn him down every once in a while is okay but don't make a habit out of it.
 

That low?
 
FL1 , kumbuka Wengine hawafundishiki , ukisema linapitia sikio moja na kutokea jingine , brain haina pa ku store hayo mafundisho..
 

Hao wamama waliokuwa wanasema madhaifu ya waume zao hadharani inaonyesha ni jinsi gani hawana heshima kwa waume zao na kwa jamii kwa ujumla. Heshima na kufichiana siri ni topic moja tu ya malezi ya familia. Ina maana kama hilo hawakufunzwa, then obviously hata la jinsi ya kumridhisha mumewe hawakufundishwa, ndo maana maH/G wakawa wanawasaidia.

Conclusion; FL usitishwe na hao wamama, kwa bahati mbaya waliosema ni wale tu wasiojua kuwaheshimu waume zao. Wengine wote (au wengi), waliobaki hakuna matatizo ya waume zao na ma h/g, so usihofu...
 

...ha ha ha!...
Tuko, "...maadili kama kisu, yanakata pande zote!"

Wafiche maradhi kilio kiwaumbue sio? :focus:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…