Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?

mi kunammoja alikuwa anampa mtoto wa mwenyenyuma mbele na baba mwenyumba anapewa tigo alipopata mimba ndio ukweli ukajulikana mimba ni ya mtoto na akakiri alikuwa anampa tigo mzee frequently!
 

aii!lakini wanaume waende wakatoe udhaifu wa wake zao kwa mahg?makubwa!
 
sometimes mama yupo bize kwenye semina one week away from home, kamwacha baba na watoto wadogo under 3 yrs imagine, H/G
yupo fiti, for whole week mama angepata mkanda Pressure ingemuua, maana cha kuibia kitamu bana
 
Chukueni ma house girl wa kutwa,anakuja kufanya kazi za ndani wakati tuko makazini jioni anarudi kwao,weekend wanakuwa off .
 
Beki tatu na Mzee mwenye nyumba, ni kama UJI NA MGONJWA! Wachache sana wanaheshimu katika sekta hiyo!
 

Lakini Pearl, wewe si uko singo and not searching?..... Haya maushauri kama vile ya mama mwenye mji, na hausigeli, na exipiriensi za kutosha.........mmmmmhhhhh
 
Kweli Egyps-women hili ni janga la kitaifa Mungu atunusuru tu.

Matatizo mengine ni ya kujitakia....hayahitaji kumwita MUNGU.....

Mke simama katika nafasi yako kama mke, na mume pia...yote haya hayatokuwepo.... hii jamii yetu sasa..mh ..!!!!!????!!!!!!!
 


Ana raha huyo mumeo!
 
Chukueni ma house girl wa kutwa,anakuja kufanya kazi za ndani wakati tuko makazini jioni anarudi kwao,weekend wanakuwa off .


Umelalia upande gani weye; hapa baba naye atashinda weekend yote huko kwa house girl............haizuii!
 
mi kunammoja alikuwa anampa mtoto wa mwenyenyuma mbele na baba mwenyumba anapewa tigo alipopata mimba ndio ukweli ukajulikana mimba ni ya mtoto na akakiri alikuwa anampa tigo mzee frequently!


Da.............salalaa imagini ni binti yako kachangiwa na familia namna hii:frusty::frusty:
 
1. Ivi h/girl sio binadamu? Hana k, hisia na vingine vyote?
Tukikaa vibaya tunaweza ku-dehumanise watu!

2. Men and women view on sex if very different. Mwanaume anaweza ku*** bila kuwa na feelings zozote na huyo mtu, ilimradi anapata raha yake. La muhimu ni uhakikishe mnahudumiana unyumba vya kutosha na mumeo! Apart from that umeliwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…