Wanaume + Housegirl: Pepo gani limeingia mioyoni mwenu?


The Following User Says Thank You to tracy For This Useful Post:

FirstLady1 (Today)​

:tongue::tongue::tongue:
 
nina hakika ushauri wangu unahitajika katika hii sredi lakini nawahi kikao kidogo, msihuzunike nitalejea. naomba mod wasije wakaipeleka hii sredi kwenye jukwaa la wakubwa sina access ya huko.

asanteni kwa ushirikiano.
klorokwini a.k.a kibaka mzoefu.
ha ha ha ha ha!
nimecheka hadi nimepaliwa na supu ya pweza

anyways HABBARR AKO BINAFSI MAMAA LA EF ELO WANI?.....

sasa ninyi mnatakaje sasa?.....

mkome kudelegeti majukumu mengi kwa hg......

haus geli anapofikia hatua ya kufua hadi nguo za ndani za mumeo unategemea nini?.....

we kila siku ukirudi kutoka kazini (tena unafanya white color jobs) unakuja na wimbo wako wa ''NIMECHOKA'' unatarajia nini sasa.....?

sasa teamo si ndo mimi sasa?.....

sasa kidume cha mbegu si ndo mimi sasa?.....

we ukija na wimbo wako wa ''nimechoka'' mimi nakuja na wimbo wangu mwingineeee wa ''adela''

sasa teamo si ndo nimemaliza sasa?.....

habarr zenyoo binafsi banaaaa
 
Orait Orait nipe specification na requirements zako

Vigezo vitakavyomfanya mwenzangu asipate wivu si nyi mmesema kina mama tukuiona beki tatu mzuri hatujiamini hata kidogo :frog:
 

habari yake hausigeli btw hapo unakuwa umegonga halafu huyu mwingine kagongwa
 
Poa nitakuletea hausiboi mwenye umri kama wa Asprin

Niko tayari...FL1 jiandae naja. Huyo mmeo lazima alipizwe kisasi bana. Atammegaje hausigelo kirahisi hivyo wakati weye upo?
 
Hebu nimpigie Simu House-Lady wangu Mary niulize kama:-
- Mtoto amekula?
- Juice ya Jioni ametengeneza?
- Maziwa ya mtoto wameenda kuchukua?
- Luku imebaki units ngapi?
- Ameenda kuangalia kama gesi ipo pale OilCom?

Mchana mwema jamani
 
Kama unamfanya aamini yeye ni 'so low' unataka iweje???
BTW: Hope kinachoongelewa hapa sio mwanaume kuteleza....ila ni mwanaume kuteleza na kwa h/g, ambayo inamdhalilisha mke...
Hapo chacha loh.........wakati mke mume akiingia weye wamwita we bwana hebu kaoge huko uje ule.........Miss. H.G yeye anapeleka maji bafuni kisha anakuja na goti chini na sauti nyororo ........Baba maji ya kuoga tayari

Wakati wewe akiingia hata kunyanyuka kwenye kochi na kumsindikiza chumbani huku ukimwuliza siku yake ilivyokuwa (kisa Forbidden Passions), Miss. H.G yee akisikia tu mngurumo wa gari keshotoka kupokea na pole nyiiiingi ......ataacha kuthaminisha?

Kingine kina mama tusijidanganye kuwa hawa kina dada tunaowachukua huwa ni wadogo kiasi hicho........wanatamanigi nafasi ulonayo weye waipate wao....so wengine wanaweka na nyavu zao ..........binti ala kungu, afukiza udi ah.

Ila wanaume wengine wamezidi, hata umbebe mgongoni kila siku atakutenda tu!
 


harafu na wewe Teamo nani anafua yaani haousegal afue nguo za mzee ??????????????????????????????????????????????????
 
Skuliment

Hivi tofauti ya House-Lady (Mary) wangu na Bar-Lady (Jose) ni ipi vile? Maana haya mambo mimi yananichanganya!!!

Huyu ananipakulia chakula - Huyu anifungulia Serengeti baridi na kupangusa glass!

Huyu ananifulia nguo na kupiga pasi - Huyu ananikumbusha kurudi nyumbani mapema!

Huyu anaangalia ustaarabu mzima wa "in the house" - Huyu anaangalia ustaarabu mzima wa "counter"!

Huyu ananiambia matukio yote yaliyotokea "in the house" wakati sipo - Huyu ananiambia "story" zote za mtaani kwetu tangia jana saa sita usiku tulipoachana!

I'm Confuzidi!!!
 
Kama unamfanya aamini yeye ni 'so low' unataka iweje???
BTW: Hope kinachoongelewa hapa sio mwanaume kuteleza....ila ni mwanaume kuteleza na kwa h/g, ambayo inamdhalilisha mke...

exaktle hommie.
nilitaka kuuliza kwamba badala ya kutelezea kwa HG, tutelezee wapi ktk mazingira hayo.

hapa ni OD safarini Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…