FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #161
FL1 unatafuta hausiboi? Unataka kulipa kisasi siyo?
:love:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FL1 unatafuta hausiboi? Unataka kulipa kisasi siyo?
LD habari ya kibabu....
Kibabu nimekigonga, siku hizi ananiamkia
Kibabu nimekigonga, siku hizi ananiamkia
FL1,.mi sikatai kwamba at times wanawake wanajisahau sana tu,.lakini taking this into a human point of view...Wanaume wangapi that wako soooo busy hata anasahau when was the last time alikua intimate na mkewe?lakini je asilimia ngapi ya wanawake wanaenda kutoka na mahouseboy?(ndogo sana right?)..if only marriage was built in a way that mwnaume atajishusha na mke nae ajishushe that akiona kuna mapungufu anaeza kumwambia mwenzake without kumnyanyasa in any way life could be better..mimi naamini it starts with the mentality kwamba i am a man and can do anything!.wanawake wengi wanavumilia all the lost attention unlike men..hivi najiuliza ukikaa na mke wako kwa ustaarabu ukamwabia what you feel,hatakuelewa kweli?na je ukimchukua hg then nae akaeka hg akajisahau pia..will you be changing hgs?..heshima kitu cha bure kwakweli,.hv imagine mtu unamvisha unamlisha,unamchukulia kama mdogo wako afu anatoka na mumeo?au ndo babaako kafanya hivyo?how will you feel?
ha ha ha ha ha!nina hakika ushauri wangu unahitajika katika hii sredi lakini nawahi kikao kidogo, msihuzunike nitalejea. naomba mod wasije wakaipeleka hii sredi kwenye jukwaa la wakubwa sina access ya huko.
asanteni kwa ushirikiano.
klorokwini a.k.a kibaka mzoefu.
Orait Orait nipe specification na requirements zako
ha ha ha ha ha!
Nimecheka hadi nimepaliwa na supu ya pweza
anyways habbarr ako binafsi mamaa la ef elo wani?.....
sasa ninyi mnatakaje sasa?.....
mkome kudelegeti majukumu mengi kwa hg......
haus geli anapofikia hatua ya kufua hadi nguo za ndani za mumeo unategemea nini?.....
we kila siku ukirudi kutoka kazini (tena unafanya white color jobs) unakuja na wimbo wako wa ''nimechoka'' unatarajia nini sasa.....?
sasa teamo si ndo mimi sasa?.....
sasa kidume cha mbegu si ndo mimi sasa?.....
we ukija na wimbo wako wa ''nimechoka'' mimi nakuja na wimbo wangu mwingineeee wa ''adela''
sasa teamo si ndo nimemaliza sasa?.....
habarr zenyoo binafsi banaaaa
Vigezo vitakavyomfanya mwenzangu asipate wivu si nyi mmesema kina mama tukuiona beki tatu mzuri hatujiamini hata kidogo :frog:
Poa nitakuletea hausiboi mwenye umri kama wa Asprin
Niko tayari...FL1 jiandae naja. Huyo mmeo lazima alipizwe kisasi bana. Atammegaje hausigelo kirahisi hivyo wakati weye upo?
Natafuta hausigeli wajameni.......
Hapo chacha loh.........wakati mke mume akiingia weye wamwita we bwana hebu kaoge huko uje ule.........Miss. H.G yeye anapeleka maji bafuni kisha anakuja na goti chini na sauti nyororo ........Baba maji ya kuoga tayariKama unamfanya aamini yeye ni 'so low' unataka iweje???
BTW: Hope kinachoongelewa hapa sio mwanaume kuteleza....ila ni mwanaume kuteleza na kwa h/g, ambayo inamdhalilisha mke...
ha ha ha ha ha!
nimecheka hadi nimepaliwa na supu ya pweza
anyways HABBARR AKO BINAFSI MAMAA LA EF ELO WANI?.....
sasa ninyi mnatakaje sasa?.....
mkome kudelegeti majukumu mengi kwa hg......
haus geli anapofikia hatua ya kufua hadi nguo za ndani za mumeo unategemea nini?.....
we kila siku ukirudi kutoka kazini (tena unafanya white color jobs) unakuja na wimbo wako wa ''NIMECHOKA'' unatarajia nini sasa.....?
sasa teamo si ndo mimi sasa?.....
sasa kidume cha mbegu si ndo mimi sasa?.....
we ukija na wimbo wako wa ''nimechoka'' mimi nakuja na wimbo wangu mwingineeee wa ''adela''
sasa teamo si ndo nimemaliza sasa?.....
habarr zenyoo binafsi banaaaa
Tunaomba ushahidi tafadhali!
Kama unamfanya aamini yeye ni 'so low' unataka iweje???
BTW: Hope kinachoongelewa hapa sio mwanaume kuteleza....ila ni mwanaume kuteleza na kwa h/g, ambayo inamdhalilisha mke...
Naomba utuletee ushahidi tafadhali