G
Umewaza mbali zaidiUsihadaike na neno "daddy "!
Huwa ndio maneno yanayotumika siku hizi!!
Huyo Dady atakuwa ni Buzi lake,Nikaongea moyoni kumbe kuna wa baba wana upendo hivi kwa ma binti zao
Sijui ila waliitana dadyUna uhakika huyo daddy nibs for baba yake mzazi kweli?
Jamani huyu mshamba tumwambie maana ya dady au tumuache kwanzaEti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ?
Siku moja nipo saloon
Alifiki binti m,moja
Baada ya kuketi
Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi
HER > GOOD MORNING DADY
HIM > MORNING DOTAA
HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ?
HER > SIM YANGU HAINA SALIO LAKINI PIA NIKO SALOON NAHITAJI KUOSHA NYWELE
HIM > NAKUWEKE PESA YA SALIO NA YA SALOON 200,000 ITATOSHA ??
HER > YES DADY ITATOSHA
THEN WAKAAGANA
Nikaongea moyoni kumbe kuna wa baba wana upendo hivi kwa ma binti zao
Wanazungumza kirafiki kwa upendo
Huku nikajisemea wakati mimi nikisikia sauti ya baba yangu NATETEMEKAAAAA baba yetu tulikua tuna muita Ghadafi
Wanaume wapendeni watoto wenu wa kike
Wapeni kipaumbele
Na wao hawotasahau upendo wenu kamwe,
My daughters are among the happiest souls on earth.Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ?
Siku moja nipo saloon
Alifiki binti m,moja
Baada ya kuketi
Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi
HER > GOOD MORNING DADY
HIM > MORNING DOTAA
HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ?
HER > SIM YANGU HAINA SALIO LAKINI PIA NIKO SALOON NAHITAJI KUOSHA NYWELE
HIM > NAKUWEKE PESA YA SALIO NA YA SALOON 200,000 ITATOSHA ??
HER > YES DADY ITATOSHA
THEN WAKAAGANA
Nikaongea moyoni kumbe kuna wa baba wana upendo hivi kwa ma binti zao
Wanazungumza kirafiki kwa upendo
Huku nikajisemea wakati mimi nikisikia sauti ya baba yangu NATETEMEKAAAAA baba yetu tulikua tuna muita Ghadafi
Wanaume wapendeni watoto wenu wa kike
Wapeni kipaumbele
Na wao hawotasahau upendo wenu kamwe,
Poleni sana aisee,ukichimba kiundani unaweza kuta Baba yenu naye alipitia mambo kama hayo utotoniSawa ukute dady ni mume wake fake tu ambaye ana mke na family na hamfanyii hayo mkewe wala watoto wake. Mi baba tulikuwa tunamuita mnyama daaah yote sbb ya ukatili alokuwa nao alikuwaga anampga mpk dada yake wa damu ambaye ni shangaz yetu ambaye alikuwa na miaka almost kama 40+ enz hzo lakn ilikuwa kiktokea kpgo na nyumba nzma tena na mkanda wa taa kama mnaujua mkanda fulan hv ukpgwa unazunguka mwili mzma na unakuchana ngozi ndan alikuwa ana miliki visu vya hatari sn maza akawa anatwambia iweni makini baba yenu sku atatuua wote humu ndani maana huku room kuna visu vya kila aina, ukweli nina miaka kama 7 hivi sjawai kanyaga home na wala sina mpango ni story ndefu.
Sindio 🤣Usihadaike na neno "daddy "!
Huwa ndio maneno yanayotumika siku hizi!!
🤣🤣🤣Sawa ukute dady ni mume wake fake tu ambaye ana mke na family na hamfanyii hayo mkewe wala watoto wake. Mi baba tulikuwa tunamuita mnyama daaah yote sbb ya ukatili alokuwa nao alikuwaga anampga mpk dada yake wa damu ambaye ni shangaz yetu ambaye alikuwa na miaka almost kama 40+ enz hzo lakn ilikuwa kiktokea kpgo na nyumba nzma tena na mkanda wa taa kama mnaujua mkanda fulan hv ukpgwa unazunguka mwili mzma na unakuchana ngozi ndan alikuwa ana miliki visu vya hatari sn maza akawa anatwambia iweni makini baba yenu sku atatuua wote humu ndani maana huku room kuna visu vya kila aina, ukweli nina miaka kama 7 hivi sjawai kanyaga home na wala sina mpango ni story ndefu.
Duh!Usihadaike na neno "daddy "!
Huwa ndio maneno yanayotumika siku hizi!!
Basi sikuingine usikurupukeSijui ila waliitana dady