Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

Huyo ni Puff Dady, so usiogopeshwe.
 
Aisee
 
Kuna Bond najaribu kuitengeneza baina yangu na wanangu.

Bond hii naamini watairithisha vizazi na vizazi na itakuwa kumbukumbu njema kwangu...
 
Imebidi nicheke kwanza, siku hizi kuna majina kama mamii, daddies, baba yakimaanisha mabuzi.
 
Daah 😭
 
In a positive way; Wanaume tuna chakujifunza. Tusichukulie kila kitu negative
Na je kama ni baba yake halisi?
Kwani tunakataa basi, ila tunaongelea trend ya maisha ya vijana wetu sasa hivi.

Ni kweli wapo wazazi/wababa very caring kwa mabinti zao, ila tusisahau pia wengi wanaoitwa daddies ni zao la uhuni na umalaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…