Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine
■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi.
■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki.
■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu.
■mara ooh urithi wote ameandika majina ya watoto aliozaa na nyumba ndogo huku nyumba kubwa hakuna alieambulia chochote.
■mara ooh nyumba ndogo alazimisha kwa nguvu kumzika bwana yake baada ya kukataliwa na nyumba kubwa.
■mara ooh waumizana vibaya wakigombania demu baani/klabu
MOST OF THE TIME UNAKUTA KABISA TUNAJUA HUYO MWANAMKE INASOMA RED ALERT MOYONI MWAKO KUTOKANA NA HURKA ALIYONAYO ILA NI KAMA TUNALAZAMISHA NAFSI IISHINDE ROHO INAYOKUPA WARNING.
SASA UNAENDA JELA YA KAHABA, UNALAWITIWA KISA YA MKE WA MTU, UNAJIUA KISA YA SLAY QUEEN, UNAFIRISIKA KISA YA MALAYA.