Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia.
Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio mwanaume unavurugwa, unatoa chozi, wengine wanachukua maamuzi magumu ya kujeruhi au kukatisha uhai wa mtu, hapo sijaongelea baadhi kukodi kundi la watu kwenda na mafuta mradi ulipize kwa maumivu ambayo umehisi.
Kama tunaongozwa na logic, si ni kuangalia logic ya hilo tukio tu na kupotezea ukaendelea na shughuli nyingine za ujenzi wa taifa?