The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
Hello Guys
Leo ningependa tushee visa, hisia, vituko n.k
Ilikuwaje kwa mara yako ya kwanza kupata utamu/kuingiliana na mwanamke/ku do /kula tunda /kuonja papuchi?
Mie nakumbuka ilinichukua takribani Nusu Saa kusimama kwa Hofu niliyopata mpaka mdada wa watu akaanza kuingiwa na Wasi wasi lakini alikuwa hana namna maana alikuwa anaitaka kwa udi na uvumba[emoji38]
Nilivyo fanikiwa kuingia pangoni asee mpaka leo hiyo kumbu kumbu haijanitoka kichwani mwangu.
Kwa ufupi mwezi mzima nilikuwa nawaza lile tendo mpaka naenda toi kwenye kioo najitazama kama ni mie nimepata ile rahaa[emoji38]
KWAKO NA WEWE[emoji847]