Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Binafsi sijawahi kumsimanga yoyote. Mtu tumekubaliana bei kaja geto kanipa huduma nimemlipa pesa yake asubuhi kaondoka sasa nimsimange kwa kosa gani.Ndio muache kuwasimanga na kutujumlisha wote. Wengine tupo na wanaume zetu tumetulia