Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hv sugu ni mkinga....halafu me napendaga watu kama kina sugu yaani Ana ubaba na ugentleman humohumo...taita kama taita
Itakuwa mnaendana kimo😅

Yule ndugu ni kisturi,muda kidogo nashuka nae somewhere kwenye usafiri kakanigusa nabegi nageuka nyuma nikahisi katoto kanene flani ila utofauti ndevu.
 
Anaombwa hela ya vocha analeta uzi analiiia
Na screenshot za evidence dadeq 😂😂😂
Wanaume wa jf wananichekesha sana!!!
Wenzao namba za simu tunapewa kupitia kwenye dollar, mwamba anaandika namba kwenye dollar 100 afu anakupa.
Huku sasa anakutumia kivocha cha afu tatu kesho unafungua jukwaa thread ya kwanza 🤣🤣🤣
 
Kuna mmoja walimchapia demu kwa ujinga wake wa kuleta screenshot kudadeki 🤣🤣🤣🤣
 
Hv sugu ni mkinga....halafu me napendaga watu kama kina sugu yaani Ana ubaba na ugentleman humohumo...taita kama taita
Kingaboy yule 🤣🤣🤣
We fanya uje kwa wanaume wanaojua kuzisaka pesa
 
Back
Top Bottom