Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hiko kipato nikitoe wapi kijana wa tandale naishi kwa shemejiπŸ˜…

Jobless
Sijashika hata Tsh nina 3 months now
Hata hiyo tsh 3 k ya kutoa kwa warembo sina.
Utakuwa ndo wewe unayetuletea nyuzi za malalamiko za afu tatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utakuwa ndo wewe unayetuletea nyuzi za malalamiko za afu tatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣

Naanzia wapi japo pesa sina naishi kama 5yrs tanzanian kids
Ka simu kako creditless Vile niombe pesa ya jojo ni recharge au nitumwe dukani nibanie pesa au nipate free wifi ya jirani niwasumbue humu.

Nikimtokea mrembo nitakula knockout in a sec,umaskini mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…