Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Hiko kipato nikitoe wapi kijana wa tandale naishi kwa shemeji๐Ÿ˜…

Jobless
Sijashika hata Tsh nina 3 months now
Hata hiyo tsh 3 k ya kutoa kwa warembo sina.
Utakuwa ndo wewe unayetuletea nyuzi za malalamiko za afu tatu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Utakuwa ndo wewe unayetuletea nyuzi za malalamiko za afu tatu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Naanzia wapi japo pesa sina naishi kama 5yrs tanzanian kids
Ka simu kako creditless Vile niombe pesa ya jojo ni recharge au nitumwe dukani nibanie pesa au nipate free wifi ya jirani niwasumbue humu.

Nikimtokea mrembo nitakula knockout in a sec,umaskini mbaya
 
Back
Top Bottom