Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

🤣🤣🤣

Naanzia wapi japo pesa sina naishi kama 5yrs tanzanian kids
Ka simu kako creditless Vile niombe pesa ya jojo ni recharge au nitumwe dukani nibanie pesa au nipate free wifi ya jirani niwasumbue humu.

Nikimtokea mrembo nitakula knockout in a sec,umaskini mbaya
Alooo!! Humu jf wenzio wote wana mipesa afu maboss hawafanyi kazi kokote, wao ndio wameajiri 🤣🤣🤣
Wewe ndo wa kwanza nakusikia choka mbaya 😂😂
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Kwani wanawake hawawafanyi wanaume objects? Kila mtu ni object in one way or the other
 
Alooo!! Humu jf wenzio wote wana mipesa afu maboss hawafanyi kazi kokote, wao ndio wameajiri 🤣🤣🤣
Wewe ndo wa kwanza nakusikia choka mbaya 😂😂
Ndio maana sina ubavu wa ku type hata nyuzi za kuombwa 3k sababu sina🤣.
Nimevamia kambi ya wenye pesa.
 
Back
Top Bottom