Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Nakubali ila Kuna mwingine anakusahawish umpende ila apate kukuumiza kunawakati huenda ukampenda mtu sana tu kumbe mwenzio anakuona sio mtu wa maana na Wala hakufikirii

Nawanaume wanaandika sana hapa kupendwa nawanawake wao lkn wao hawakuwapenda hao wadada ndio wahanga na Wala sio makosa Yao
Tukubali Kuishi maishayetu mapenz hatukuumbiwa sisi wanawake 😀
Umeongea vitu vya msingi sana Ndio hivyo changamoto yenu shilingi ipo kwa mwanaume pekee yeye anaamua achezeje, so hapo jambo la msingi mshirikisheni Mungu kwenye maamuzi yenu
 
Back
Top Bottom