Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Embu kawajaribu basi rafiki utupe feedback,wakiweza na mimi naenda kujiunga chama chao nipate sifa🤣Ukienda kusoma kwenye kale kauzi kao ka kula tunda kimasihara,Unabaki unajiuliza hawa watu wapo kwenye ndoto au Dunia ipi🤷🏼♀️😁😁😁