Wanaume; Jinsi ya kumfanya Binti yako asiwe Malaya

Mama zao siku hizi wanasema huyu ni mtoto wangu, utamfundisha maadili saa ngapi?

Shetani anaupiga mwingi sana, wanaume ili kunusuru divorce wameamuwa kuwa Watazamaji tu, nyumba nyingi sasa hivi zinaongozwa na wanawake si kwa sababu wanaume ni dhaifu bali kuna wanaume wameamuwa kuangalia waone mwisho wa hii movement ya jeshi kubwa itaishia wapi.
 

Tuone mwisho wa harakati zao
 
Jamaa anataka kupingana na nature, anaka mwanamke awe mwanaume.
 

Mfundishe Kula Kwa jasho lake au la mume wake( asipende vya Bure)
Siku zote mtu yeyote apendaye vya bure Hana thamani!
Wanawake wengi wamejikuta wakidharauliwa Kwa sababu ya Kupenda burebure.
Moja ya sifa kuu za Umalaya ni Kupenda vitu vya burebure!
Nyuzi zako zinapingana sana, ndo tatizo la kuanzisha nyuzi nyingi nyingi.

Umeandika mfundishe ajue kujitegemea na kujiongoza na uzi mwingine umeandika mwanamke hatakiwi kujitegemea!! Sasa unamfunza kujitegemea na awe na uchumi kwa ajili ya nini wakati yeye anatunzwa tu.

Halafu umfundishe kula kwa jasho lake, jasho gani wakati mwanamke hali kwa jasho(uzi wako mpya ule umepinga hiki na huu umekiweka tena)

Mwisho kabisa hayo uliyoandika yanawezekana kama wewe ndie utakaekaa muda mrefu na huyo mtoto wa kike.
Kama ni shule basi asome karibu na nyumbani ili umshape vizuri.
 
atumie akili na sio hisia, sahihi kabisa, videmu vinazama kwenye mahusiano bila kushirikisha ubongo, eti moyo umependa, ndegelec
 
Good ila kuwa malaya sio wao walipenda hali halisi na wengine ni asili yao sasa utamfanyaje ila kwenye watano kwa familia lazima mtu awe malaya hata umfundishaje
 
Nimesoma mara nyingi kila wakati ,nikweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…