Wanaume jitahidini kufua boxer zenu nauwe na boxer zaidi ya moja

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
 
Bhanaaaeee we umejuaje boxer ya mwanaume mwenzio imekuwa nyeusi tii

Nishawahi ona ka 2-3 me wakinusa boxer wavuapo sijui why? labda ka halinuki wasifueee eeeee
 
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo??

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
Sa wewe umeonaje hizo boxer za wanaume wenzio hadi kuzinusa
 
Back
Top Bottom