Wanaume jitahidini kufua boxer zenu nauwe na boxer zaidi ya moja

Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani

Czani kama mwanaume anaeza kaa nusu muhula au na mwezi na boxer moja
Labda wale homeless na mateja ila uko na life ya kawaida huez fanya icho kitu
 
Wewe mwanaume? Mbona unatustaajabisha wanaume wenzako,
Kama Mwanaume basi badilika usiwe hivyo unatuangusha.
Wafuaji wetu wanakuja Weekend mpaka Weekend unategemea nini?

Katudhalilisha [emoji74]
 
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
Oy we jamaa vipi 🤔🤔. Thread zako sizielewi elewi.
 
NAKAZIA
 
Swali la msingi ni umejuaje??
 
Back
Top Bottom