Wanaume jitahidini kufua boxer zenu nauwe na boxer zaidi ya moja

Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
ukizoea kuongea utumbo hata sku ukiongea cha maana kina kuwa utumbo tu
 
Tatizo dogo una pigo za jinsi ke maana huu uzi uliandika mwenyewe

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Njoo tukupe sketi mkuu. Wewe uliona lini boxer za wanaume wenzio? Kumbe huyu ndugu Ni shoga na shosti mwenzetu
 
Tatizo dogo una pigo za jinsi ke maana huu uzi uliandika mwenyewe

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Asante [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
Mpwayungu Village mbona unaleft group Kwa spidi ya 6G!?
 
Kama ni yeye basi tayari lile wazo lake la kubadili jinsia limetimia ila nahisi account yake imekuwa hacked na mwana dada fulani aliyekutana na mbaba asiefua boksa.
Nimewaza tu
 
Unakuta mwanaume nguo ya ndani hajafua Wala kuivua mwezi mzima na joto hili la Dar, huwa najiuliza sana hivi kweli umetoka bafuni kuoga utarudia kuvaa boxer hiyo hiyo?

Boxer imekuwa nyeusi tii ngumu kweli kweli ukiiweka chini inasimama ni inanuka uvundo mtupuuu hadi kero mnakeraaaa. Unawezaje kuvaa boxer mwezi mzima tena wengine wanapiga nusu muhula (miezi Sita) hajawahi kufua Wala kubadilisha boxer

MIMI binafsi kila nikitoka bafuni kuoga huwa navaa nguo zingine zilizofuliwa au Mpya (boxer, shat, vest na suruali au pensi) hata kama nikaoga Kwa kutwa Mara tano

Wanaume badilikeni mnakera, kuwa mchafu sio sifa ndio maana wake zenu tunawatafuna huku maana wanafata usafi, mvuto ni usafi Raba Kali, pamba za kutosha, manukato na mavitu yakukuvutia kibao yani unakuwa comfortable afu uko huru na una makonfidensi kama yote yani
Swali muhimu: Umejuaje kama wanaume hawafui boxer? Jibu Kwa ushahidi kamili. Hii maada angeleta mwanamke hakika ilikuwa sawa Kwa hoja yake maana tungetafri kuwa amekutana na wanaume wengi waliopo Dar. Hivyo katoa fact. Sasa wewe kama mwanaume Kwa hoja hii, inafikirisha sana.
 
Back
Top Bottom