Wanaume jueni ukweli huu ya wanawake utawasaidia

nisile23

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
440
Reaction score
176
Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli.

1)wanawake baadhi sio wote wakipenda wanapenda kweli,wanauwezo wa kuwa na huyo mwanaume mmoja maisha yao yote ndani ya ndoa .Ila ni baadhi inategemea nini alikizoea kabla ya kuingia kwenye ndoa.kuna Aina ya wanawake hawawezi kuwa na mwanaume mmoja na wanajua kucheza na akili za waume zao mno.hawa kiasili wapo hivyo hawawezi kamwe kuwa na mwanaume mmoja.na hata akijua mumewe umecheat ni wepesi Sana kusamehe na maisha kurudi kawaida mapema.

2)Mwanamke ambaye hana mchepuko na hajui kupanga wanaume Mara nyingi huwa wanaonekana Kama kero kwa wanaume,hana ziada hivyo akili yote ipo kwako,atatamani akulinde,wivu anakua nao sana,hofu kubwa ya kukupoteza maana umebeba sehemu kubwa ya maisha yake ,anatamani kuhakikisha adui haingii kwenye familia yenu,huyu hajui kuchanganya wanaume,akipenda anapenda kweli, wanawake Hawa kwenye dunia tuliyonayo ni wachache na ukimpata hakikisha yafuatayo

a) Jitahidi usimcheat,au Kama huwezi kutulia hakikisha kamwe asijue asijue,maana kwa upendo wanaoubeba,na Imani anayokuwa nayo kwako,huyu akijua umecheat na alikuamini Basi mateso yake ni makubwa kuliko hata asikie msiba wa mzazi wake,na hasahau Hilo tukio kamwe,na ndio kinakuwa kidonda moyoni mwake kisichopona Ila atasamehe maisha yataendelea ingawa ataishi akijua haupo Kama alivyokufikiri.

Sasa itategemea baada ya hapo endapo ukimcheat Tena akajua hayo makovu hakuna anayeweza kuyabeba si Mchungaji Wala Shehe,si ndugu Wala mzazi,atakayeweza kumsaidia aendelee na ndoa hiyo ni mwanaume mwingine ambaye atakuja Kama mfariji wake.

akipata mwanaume mstaarabu atamsaidia kumfundisha jinsi ya kucheat huku akimfanya mumewe asijue chochote maana upendo utaamia kwa mchepuko Ila heshima kwa mume itabaki pale pale .

Lakini akimpata mwanaume chenga ni rahisi kugundulika anacheat maana huyu ni Aina ya mwanamke asiyejua kubalance upendo hivyo mchepuko usipoweza kumcontrol ndoa itakufa.

Kama ambavyo wanaume wameumbwa na tamaa,ipo Aina hiyo ya wanawake kamwe kamwe hawawezi kutulia na mume mmoja.
,Ila pia wapo wanawake ambao wakipenda wamependa.

Hivyo wanaume ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI HAWAPO HIVYO KAMA MNAVYOJIAMINISHA.
 
Labda Me, ila Ke aliyeolewa hatakiwi ku cheat bhana
Jiulize kwa nini maandiko yanasema mke amuheshimu mumewe na si kupenda? Kwa sababu mke ni rahisi kubadilika kutokana na mazingira,mjue mwanamke vizuri kabla hujaingia nae kwenye ndoa na ukijua ni yule aliyebeba upendo kwako mheshimu Sana Linda hicho maana hawawezi kuhimili kuishi kwa mateso hivyo maji yakizidi ni wepesi kutafuta mbadala ili kujisaidia kuondoa maumivu..
 
Wajumbe Taratibu
Kikao Cha Mwisho Dodoma!!
 
Dawa na tiba ya usaliti n KISASI. hilo halina mjadala na haliepukiki. cariha

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mmmh, kisasi cha namna gani labda?
Nilidhani unasema ni kuachana tu! Achana na visasi, jikatae tu na usimamie msimamo wako na ukiwa una maanisha kweli umechukua hatua hiyo kwakuwa wewe umenyoosha mstari, kama na wewe ni muumini mzuri tu wa hizo vitu, basi maamuzi yako yata-backfire tu.
 
Aiseee umeongea ukweli mchungu sanaa lakin Ni kweli kabisaaaaaaaaà
Wanaume wengi hawawajui wanawake kabisaaa na wanawafikiria tofauti Sana
Hao wanaocheat Ni wengi Sana Tena esp wasio na Kaz wanakaa tu home au waliowahi kusalitiwa na Ni watunza Siri wazuri mnooo
Kama anaweza kuficha watoto sio wako kipi kitamshinda
 
Inagopesha pale maandiko yanapo tanapotanabahisha kua wanawake watuheshimu tu na siyo kutupenda hapo pananiogopesha
 
Mtume Paulo kwenye maandiko yake, ushauri mkuu aliokuea akitoa kwa wanume ni ukieeza kuishi bila kuoa ni bora zaid,maana yeye hakuoa.

ila akasema kama ukishindwa na uoe,haki najuta kwa nini sikuufanyia kazi ushauri wake Wa mwanzo.

Najuta kuoa hakiii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…