Wanaume jueni ukweli huu ya wanawake utawasaidia

Wanaume jueni ukweli huu ya wanawake utawasaidia

Mmmh, kisasi cha namna gani labda?
Nilidhani unasema ni kuachana tu! Achana na visasi, jikatae tu na usimamie msimamo wako na ukiwa una maanisha kweli umechukua hatua hiyo kwakuwa wewe umenyoosha mstari, kama na wewe ni muumini mzuri tu wa hizo vitu, basi maamuzi yako yata-backfire tu.
Hakuna kujikataa hapa, ni kisasi tyuuh tit 4 tat

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwanza umemchambua mwanamke mmoja in detail kuliko mwingine, jaribu kubalance story
 
Hakuna kujikataa hapa, ni kisasi tyuuh tit 4 tat

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Duuuh...haya mambo haya, ule usemi, NDOA ndio vita pekee unalala na adui kitanda kimoja inatimilika na kisasi ujue. Hii mambo za kufia usingizi hazitaisha....waombolezaji huwa wanasema, jamaa kafa kifo safi kabisa bila tabu, kumbe kisasi😭
 
Jiulize kwa nini maandiko yanasema mke amuheshimu mumewe na si kupenda? Kwa sababu mke ni rahisi kubadilika kutokana na mazingira,mjue mwanamke vizuri kabla hujaingia nae kwenye ndoa na ukijua ni yule aliyebeba upendo kwako mheshimu Sana Linda hicho maana hawawezi kuhimili kuishi kwa mateso hivyo maji yakizidi ni wepesi kutafuta mbadala ili kujisaidia kuondoa maumivu..
Ukweli kinachofiata ni kisasi,wanaume mkubali mkatae saikolojia ndio inanyoosha maelezo
Inagopesha pale maandiko yanapo tanapotanabahisha kua wanawake watuheshimu tu na siyo kutupenda hapo pananiogopesha
Halafu tunaenda hovyohovyo. Wanawake ndio wanapenda wanaume hawafanyi lolote wanasubiri kupendwa na kuheshimiwa. Hatutapata amani mpk tutakapofuata maandiko.
 
Mmmh, kisasi cha namna gani labda?
Nilidhani unasema ni kuachana tu! Achana na visasi, jikatae tu na usimamie msimamo wako na ukiwa una maanisha kweli umechukua hatua hiyo kwakuwa wewe umenyoosha mstari, kama na wewe ni muumini mzuri tu wa hizo vitu, basi maamuzi yako yata-backfire tu.
Good point my brother
 
Mtume Paulo kwenye maandiko yake, ushauri mkuu aliokuea akitoa kwa wanume ni ukieeza kuishi bila kuoa ni bora zaid,maana yeye hakuoa.

ila akasema kama ukishindwa na uoe,haki najuta kwa nini sikuufanyia kazi ushauri wake Wa mwanzo.

Najuta kuoa hakiii..

Poleee.

Jifanyie namna ya kufurahia maisha hapohapo ulipo, uliyonayo ni leo tuu iishi. Ukiipata kesho nayo unaitengeneza kiasi ulale na tabasamu.

Alamsiki.
 
Mtume Paulo kwenye maandiko yake, ushauri mkuu aliokuea akitoa kwa wanume ni ukieeza kuishi bila kuoa ni bora zaid,maana yeye hakuoa.

ila akasema kama ukishindwa na uoe,haki najuta kwa nini sikuufanyia kazi ushauri wake Wa mwanzo.

Najuta kuoa hakiii..
Dah! Pole sana mkuu
 
Tuliambiwa tuishi nawo kwa akili wale ambao unawakuta hawajatumika,
Ila Hawa waliyotumika inahitaji nguvu ya ziada sana!
Sure, mwanamke bikra nahisi ukimuoa utaishi nae muda mrefu ila sio ambayo ni used ni wachache sanaa, kwa uzoefu wangu kwa wanawake bikra niliokutana nao mpaka leo tunaheshimiana sana, naona kuna ukweli sana kwenye kuoa bikra
 
Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli.

1)wanawake baadhi sio wote wakipenda wanapenda kweli,wanauwezo wa kuwa na huyo mwanaume mmoja maisha yao yote ndani ya ndoa .Ila ni baadhi inategemea nini alikizoea kabla ya kuingia kwenye ndoa.kuna Aina ya wanawake hawawezi kuwa na mwanaume mmoja na wanajua kucheza na akili za waume zao mno.hawa kiasili wapo hivyo hawawezi kamwe kuwa na mwanaume mmoja.na hata akijua mumewe umecheat ni wepesi Sana kusamehe na maisha kurudi kawaida mapema.

2)Mwanamke ambaye hana mchepuko na hajui kupanga wanaume Mara nyingi huwa wanaonekana Kama kero kwa wanaume,hana ziada hivyo akili yote ipo kwako,atatamani akulinde,wivu anakua nao sana,hofu kubwa ya kukupoteza maana umebeba sehemu kubwa ya maisha yake ,anatamani kuhakikisha adui haingii kwenye familia yenu,huyu hajui kuchanganya wanaume,akipenda anapenda kweli, wanawake Hawa kwenye dunia tuliyonayo ni wachache na ukimpata hakikisha yafuatayo

a) Jitahidi usimcheat,au Kama huwezi kutulia hakikisha kamwe asijue asijue,maana kwa upendo wanaoubeba,na Imani anayokuwa nayo kwako,huyu akijua umecheat na alikuamini Basi mateso yake ni makubwa kuliko hata asikie msiba wa mzazi wake,na hasahau Hilo tukio kamwe,na ndio kinakuwa kidonda moyoni mwake kisichopona Ila atasamehe maisha yataendelea ingawa ataishi akijua haupo Kama alivyokufikiri.

Sasa itategemea baada ya hapo endapo ukimcheat Tena akajua hayo makovu hakuna anayeweza kuyabeba si Mchungaji Wala Shehe,si ndugu Wala mzazi,atakayeweza kumsaidia aendelee na ndoa hiyo ni mwanaume mwingine ambaye atakuja Kama mfariji wake.

akipata mwanaume mstaarabu atamsaidia kumfundisha jinsi ya kucheat huku akimfanya mumewe asijue chochote maana upendo utaamia kwa mchepuko Ila heshima kwa mume itabaki pale pale .

Lakini akimpata mwanaume chenga ni rahisi kugundulika anacheat maana huyu ni Aina ya mwanamke asiyejua kubalance upendo hivyo mchepuko usipoweza kumcontrol ndoa itakufa.

Kama ambavyo wanaume wameumbwa na tamaa,ipo Aina hiyo ya wanawake kamwe kamwe hawawezi kutulia na mume mmoja.
,Ila pia wapo wanawake ambao wakipenda wamependa.

Hivyo wanaume ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI HAWAPO HIVYO KAMA MNAVYOJIAMINISHA.
Mwanamke hakupewa kupenda, ndio maana si kawaida atoke kuposa ama kuoa mwanamume "ampendaye."

Sio kila mwanamke afaa kuwa mke, hivyo hizo ngonjera za mwanamke anayependa kutembea na wanaume mbalimbali hazina uhusiano na mke wa ndoa.

Umeanza na nukuu ya maandiko lakini sidhani hata kama unaelewa maana ya hiyo nukuu. Ingawa watu wote wanapenda kuitumia nukuu hiyo, lakini ukweli ni kuwa imenenwa kwa ajili ya wale wanaoijua kweli tu. Tafakari.
 
Back
Top Bottom