Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Wanaume kama umeoa hii inakuhusu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Naswali la heshima why mnacheat.

Na mna mke mwema, mke anakupenda na kukusaidia, nakukujali anakuzalia anafanya uitwe baba fulani.

Ila nyie kazi kuwa malaya tu ndio kazi yenu, sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake.

Mnakera sana nyie wamalaya mnaboa . Samahanini ila kweli mnatia hasira . Sana na hamuoni.

Kha maisha yandoa mliojiingiza sio marahisi na mkiwa malaya ndio shida na mikosi mnailetea familia zenu. Na hamuoni
 
Pole sana. Wewe hufanyi hivyo? Ungekuwa umekutana na mimi ndiyo ungejua kuna wanaume waungwana na hawa cheat.

Ingekuwa unaweza kurudisha siku nyuma ningerudisha halafu tukielewana tuishi wote. Hata mimi nachukia sana watu wanao cheat kwa sababu niliwahi kuwa na mwanamke mapepe na nilikuja kugundua baadae alivyokuwa anagawa kwa waume za rafiki yake.
 
FB_IMG_16994779576892473.jpg
 
Tunachiti sababu tukishawaoa mnajifanya kujitoa ufahamu

Mnaanza kutunyima tamu, mnaanza kujifanya mnapenda watoto kuliko baba, mnaanza kuchukulia kila kitu kwa granted, mkiambiwa tutoke outing mnajifanya mmechoka
Na akikubali kutoka out ukimnunulia Kuku mzima na soda anaanza kukufundisha matumizi, utasikia "Baba nanihii hii pesa si bora tungenunua tofali", na mlemba wake kitenge Kama katoka Congo🤣🤣🤣
 
Hamna cha maana umalaya ni tabia ya kujiendekeza, maisha ni simple kama una familia ifanye kama kipaumbele huko kwa vimada hamna jipya ...Mtu aje kupata magonjwa na majuto yasiyo na ukomo.

Leo upo na mkeo unamcheat siku ndoa ikivunjika na watoto wakaanza kupata tabu hata hizo nguvu za kucheat hautokuwa nazo kwa mawazo.
 
Back
Top Bottom