Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wewe ukiambiwa ule mahindi ya kuchoma tu Maisha yako yote utaweza?sijui kwanini mnaoa yanini kama hamjui shida zake
Pole sana kumbe umeolewa na mwanaume wa tabia hizo mbaya 😢Naswali la heshima why mnacheat.
Na mnamke mwema,mke anakupenda na kukusaidia
Kwani uongooTunachiti sababu tukishawaoa mnajifanya kujitoa ufahamu
Mnaanza kutunyima tamu, mnaanza kujifanya mnapenda watoto kuliko baba, mnaanza kuchukulia kila kitu kwa granted, mkiambiwa tutoke outing mnajifanya mmechoka
Hukuona ni kandeWewe ukiambiwa ule mahindi ya kuchoma tu Maisha yako yote utaweza?
Nijibu Mimi kwanza we unaambiwa ule Kande tu Mwaka mzima utaweza?
Mniambie mnatakaga nini nje??Kumekucha...kumekucha!
Hujajibu swali umelirukaHukuona ni kande
Na akikubali kutoka out ukimnunulia Kuku mzima na soda anaanza kukufundisha matumizi, utasikia "Baba nanihii hii pesa si bora tungenunua tofali", na mlemba wake kitenge Kama katoka Congo🤣🤣🤣Tunachiti sababu tukishawaoa mnajifanya kujitoa ufahamu
Mnaanza kutunyima tamu, mnaanza kujifanya mnapenda watoto kuliko baba, mnaanza kuchukulia kila kitu kwa granted, mkiambiwa tutoke outing mnajifanya mmechoka