- Thread starter
- #41
Sina glass nyeupe mkuuMkuu ingependeza kama ungeiweka kwenye Glass nyeupe ili tuone rangi yake kwa uzuri kabisa.
Sent using .... who cares anyway
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina glass nyeupe mkuuMkuu ingependeza kama ungeiweka kwenye Glass nyeupe ili tuone rangi yake kwa uzuri kabisa.
Si bora kutengeneza tu.
Sent using .... who cares anyway
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilifany hivi na ndicho kilichoniwekaa kwenye relationship[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Hongereni kwa kujali 'heshima' na afya zenu
i must say ukitumia kwa muda mrefu ni kweli kabisa vinasaidia;
Vingine navyovijua ni pamoja na;
Ndizi mbivu
Tende
Karanga/korosho/almonds
Maziwa mtindi
Ili upate juisi unachanganya na maji au unasaga vitunguu saumu na tangawizi kavukavu tu bila maji?Sina glass nyeupe mkuu
Sent using .... who cares anyway
Nafikiri huijui vizuri KVant...... kwanza inakausha papu, inakata utelezi woote, inaamsha hasiraaa anaweza kukutia ngumi ya pua kwa kisingizio cha mahabaaa.... ha ha haaaa usicheze na Kvant....
Sasa bila maji unasagaje kwenye blenderIli upate juisi unachanganya na maji au unasaga vitunguu saumu na tangawizi kavukavu tu bila maji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naruhusiwa kukujaribia!Najishughulisha na uuzaji wa huo mchanganyiko tajwa hapo. Karibuni tuna delivery kote nchini TANZANIA.
karibuni
Inakimbilia kwenye shipa.
Hata nyie karibuni.
mkuu asali inayeyukaje kwenye huo mchanganyiko? ..... may be kuna kitu sijaelewaKiukweli mimi sikutumia vipimo maalumu,
Nilijipimia tu hela niliyokuwa naho na idadi ambayo ningeweza kuafford.
Ni kama juice ya matunda. Titrate kulingana na ukali
Sent using .... who cares anyway
mkuu asali inayeyukaje kwenye huo mchanganyiko? ..... may be kuna kitu sijaelewa
Mkuu, kwa hiyo ni sawa kuiweka kwenye fridge ??Jaribu hiyo mkuu.
Halafu inataste nzuri. Mara ya tatu hii narudi kwenye fridge kumimina glass
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka contact yako please, how do we get you?Najishughulisha na uuzaji wa huo mchanganyiko tajwa hapo. Karibuni tuna delivery kote nchini TANZANIA.
karibuni