Mahitaji:
Vitunguu swaumu kadri uwezavyo
Tangawizi kadri uwezavyo
Asali mbichi kwa ajili ya ladha.
Andaa viungo vyako (vitunguu na tangawizi), weka kwenye blender na maji ya kutosha. Saga hadi itengeneze juice/uji fulani hivi.
Chuja kwa kutumia chujio upate juice. Weka asali kwa kiwango ambacho ladha ya juice itakaa poa.
Umemaliza.
Advantages: Vitunguu swaumu na tangawizi zina active ingredients allicin na gingerol respectively.
Zinasaidia msukumo wa damu kuwa mzuri, mishipa ya damu kurelax (vasodilatation). Hii ni kwenye peripheral blood vessels including hapo chini kwa jamaa.
Zinasaidia wale wenye kisukari kupata glycemic control nzuri na inastabilize blood pressure. (Inapunguza Total Peripheral Resistance)
Ni antioxidants hivyo zinasaidia kuscavenge harmful free radicals, reactive oxygen species. Inapunguza hatari ya kupata cancer kwa kiasi chake.
Na faida nyingine nyingi
Kwa watakaokuwa interested mnaweza mkaingia scholar.google.com mkacheki articles kuhusu tangawizi na vitunguu swaumu.
Karibuni
View attachment 1351108
Sent using
Jamii Forums mobile app