Wanaume karibuni tutengeneze na kunywa juice ya mchanganyiko huu

Je maji yanakua ya moto ??
 
Karanga zinaongeza nyege zinafanya mtu awahi kukojoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Safuher, mnanichanganya sana, niliwahi kuambia niwe nakula karanga zinasaidia kuboresha afya ya Uzazi ya mwanaume, sasa unaposema zinafanya mtu awahi kukojoa maana yake ni kwamba hazifai !!, hebu maelezo kidogo labda sijaelewa mimi.
 
K
Kwa nini wanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe, sasa wewe unataka nini ?, mbona mnapenda sana kushindana wanawake wa zama hizi ?, nyinyi na mambo yenu nani huwa anawafuatilia ?, na isitoshe nyinyi mko vizuri hamnaga shida na mambo haya, wewe ukilala tu umemeliza kazi yako, waacheni wababa watafute ahueni
 
Mbona povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…