Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Upo serious ??Awe na masikio ya duara avae hereni mbili, hapo nakufa naoza.
Nasikia hampendi watu wafupi mnachezewagwaKikubwa awe na utelezi tu.
Tunachezewaje? WanafanyajeNasikia hampendi watu wafupi mnachezewagwa
I mean mnawachezea tu hamko serious naoTunachezewaje? Wanafanyaje
siwezi nikaongelea preference zangu kugeneralize ipo hivyo kwa wote. Binafsi nikivutiwa nawe ata uwe mfupi nyundo naweka kambiI mean mnawachezea tu hamko serious nao
Wachaa haya bhana sawa nimukuerewaasiwezi nikaongelea preference zangu kugeneralize ipo hivyo kwa wote. Binafsi nikivutiwa nawe ata uwe mfupi nyundo naweka kambi
Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani.
Mrefu mwembamba ,
Mrefu mweupe mwembamba
Mweusi mrefu mwembamba
Au saizi ya kati mweupe mwembamba
Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe
Au mweupe mfupi mnene au mweusi mfupi mweupe mwembamba , au mfupi mweupe mnene , ?? Ugonjwa uko wapi??
Wadada je unataka mtu mrefu mweupe mwembamba au mweusi mrefu mwembamba au mweusi mnene , au mweupe mnene , au body fighters mweusi mwembamba, ugonjwa wako uko wapi??π
π na tusio na chura sasa?
HeeeeeAwe na masikio ya duara avae hereni mbili, hapo nakufa naoza.
Mtapendwa na baba zenuπ na tusio na chura sasa?
Muuwawe ππ na tusio na chura sasa?