Wanaume, kati ya hawa yupi mnampenda kwa moyo?

Wanaume, kati ya hawa yupi mnampenda kwa moyo?

_20230211_184006.JPG

Kama ni msweet like hivi, damn dats my type....Ntaozaaa!!!
 
Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani.

Mrefu mwembamba ,
Mrefu mweupe mwembamba
Mweusi mrefu mwembamba
Au saizi ya kati mweupe mwembamba
Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe

Au mweupe mfupi mnene au mweusi mfupi mweupe mwembamba , au mfupi mweupe mnene , ?? Ugonjwa uko wapi??

Wadada je unataka mtu mrefu mweupe mwembamba au mweusi mrefu mwembamba au mweusi mnene , au mweupe mnene , au body fighters mweusi mwembamba, ugonjwa wako uko wapi??😁
Ungeweka picha badala ya maelezo ingependeza
 
Ukweli shape ya To yeye imekaa vizuri mno, kwa umbo lake lilivyo na lile tako [emoji119][emoji119]. Ukiwa na mwanamke mwenye umbo kama la to yeye sijui unaanzaje kumuacha
💕💕💕🙏 Nisifieni tu mje mkutane na Betina au Zena
 
Back
Top Bottom