Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya kunde sura mduara miguu iliyoshiba kiasi,hips za wastan asiwe mfupi sana[emoji4]Wanaume je kati ya Hawa mnapenda Kwa moyo nani.
Mrefu mwembamba ,
Mrefu mweupe mwembamba
Mweusi mrefu mwembamba
Au saizi ya kati mweupe mwembamba
Saizi ya kati mnene mwenye shepu mweupe
Au mweupe mfupi mnene au mweusi mfupi mweupe mwembamba , au mfupi mweupe mnene , ?? Ugonjwa uko wapi??
Wadada je unataka mtu mrefu mweupe mwembamba au mweusi mrefu mwembamba au mweusi mnene , au mweupe mnene , au body fighters mweusi mwembamba, ugonjwa wako uko wapi??[emoji16]
La kwakeUnique Flower love ety picha za trakoo la nani nitume chap.
Yule ambalo nikubwa yakeUnique Flower love ety picha za trakoo la nani nitume chap.
Lipo teacher??🥰Wametusema wanyakyusa Leo balaa
Kidogo cute,la kukalia sijakosaLipo teacher??
Ukiona picha utawezanaLa kwake
sishindwagi kitu mbele ya churaUkiona picha utawezana
Sawasishindwagi kitu mbele ya chura
Mmmh!sisi tunapenda wote, hatunaga ubaguzi dada!! sisi tumeumbwa na huruma
Ila kweli wanayoDah sema wanawake wenye tako mnanafasi yenu pale [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mpo selective sana hamjui tuWanaume hatuko selective sanaa kama wanawake...ndo maana ikisimama tu hata kwa chizi inalowekwa
Kweli mwanahayo ya mrefu sijui mweupe ni bure tu,mchagua K sio mtiaji,,
au nasema uongo??