Wanaume kazini

Yaani maisha kama haya unawafunza watu watumikie vikosi maalum kwa mafunzo ya uweledi wa hali ya juu na gharama kubwa unampeleka ughaibuni kwenye mapambano anadunguliwa na mtu asiye kuwa na mafunzo wala nini na kuwapa hasara kubwa!
 
Kama hujui kitu ni bora usitoe coment kwa ujasiri . Kama hujui uliza.
 
Yaani maisha kama haya unawafunza watu watumikie vikosi maalum kwa mafunzo ya uweledi wa hali ya juu na gharama kubwa unampeleka ughaibuni kwenye mapambano anadunguliwa na mtu asiye kuwa na mafunzo wala nini na kuwapa hasara kubwa!
Ha ha ha!
 
Hayo mazoezi ni analog na si digital ya 4G, na vile TZ ni salama baada ya mazoezi hayo wanakosa pa kuyatumia mwishoe wanakuja kufunga mtaa wa Buguruni kwa binti Madenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…