Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu?

Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile vitabu mashuleni na majumbani, wizara inayoshughulikia filamu, TV, burudani, na tamaduni zetu wako wapi? Au wao wana ni sawa tu? Na wanaume wengine kutoboa pua!!

Kitimtim



Joti


Steve Mweusi


Original Comedy
 
Ni hayo hayo, wengine ni wenyewe
 
Kwa mtu anaowafatilia hao lazima atakuwa hayuko sawa

Ova
 
They just wanted an excuse to wear women's clothes and do some gay shyt
 
Back
Top Bottom